Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,720 Reaction score 10,282 Jun 20, 2021 #1 Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wakubwa nisiwachoshe na maelezo mengi naomba kujibiwa swali hilo hapo juu , naomba ukieleza na faida za mfuko husika itakuwa vizur zaid
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wakubwa nisiwachoshe na maelezo mengi naomba kujibiwa swali hilo hapo juu , naomba ukieleza na faida za mfuko husika itakuwa vizur zaid
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,814 Reaction score 95,726 Jun 20, 2021 #2 Tusubiri wataalam wa hayo mambo
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,720 Reaction score 10,282 Jun 22, 2021 Thread starter #3 Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ?
Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ?
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,863 Reaction score 3,099 Jun 22, 2021 #4 Beberu said: Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ? Click to expand... ha ha ha rudia tena kuandika
Beberu said: Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ? Click to expand... ha ha ha rudia tena kuandika
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 Jun 22, 2021 #5 Beberu said: Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ? Click to expand... wataalam washakuelewa na watakujuza tu, usiwe na hofu.
Beberu said: Mods mmeedit vibaya uzi wangu na kuupotezea lengo lake , M nauliza mfuko upi kati ya ile 6 ya UTT ni mzuri kuwekeza ? Click to expand... wataalam washakuelewa na watakujuza tu, usiwe na hofu.
EL ELYON JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,675 Reaction score 2,117 Jun 22, 2021 #6 Mfuko mzuri ni wa ukwasi kwanu pesa yako unachukua muda wote unaenda crdb unajaza fomu and within three days umedaka mpunga wako kwny akaunti
Mfuko mzuri ni wa ukwasi kwanu pesa yako unachukua muda wote unaenda crdb unajaza fomu and within three days umedaka mpunga wako kwny akaunti