Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Mar 12, 2013 #1 Wenzetu wameendelea sana, yaani kitoweo kabla hakijafikishwa sehemu husika kwa maandalizi kinaletwa kikiwa kimeshapata huduma ya kwanza kwakupashwa moto!
Wenzetu wameendelea sana, yaani kitoweo kabla hakijafikishwa sehemu husika kwa maandalizi kinaletwa kikiwa kimeshapata huduma ya kwanza kwakupashwa moto!
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Mar 12, 2013 #2 Huu ni ukatili dhidi ya wanyama
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Mar 12, 2013 Thread starter #3 Hapo mpaka afike anakua ameshaanza kuiva sehemu ya Makalio!
kimeloki JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 2,730 Reaction score 2,848 Mar 12, 2013 #4 siyo jambo jema kwa wanyama