Weka namba ya simu. Weka kazi aina gani. Specifications muhimu. Watu wa kazi. Vijana wanatafuta kazi.Na mimi nataka. Kariakoo mshahara 150,000/= awe mschana wa umri kuanzia 18,000.
Na mimi nataka. Kariakoo mshahara 150,000/= awe mschana wa umri kuanzia 18,000.
Umri ganii umesemaNa mimi nataka. Kariakoo mshahara 150,000/= awe mschana wa umri kuanzia 18,000.
Ushapata tayari?Na mimi nataka. Kariakoo mshahara 150,000/= awe mschana wa umri kuanzia 18
Tuma ujumbe kupitia email
Jobsfacilitators@gmail.com
Na mimi nataka. Kariakoo mshahara 150,000/= awe mschana wa umri kuanzia 18
Tuma ujumbe kupitia email
Jobsfacilitators@gmail.com
KaribuHabari,
Ulipata mtu?! Ninabinti anaweza kufanya hio kazi
KaribuHabari,
Ulipata mtu?! Ninabinti anaweza kufanya hio kazi
Nipo tayari kazi nakaa tegetaaaMfanyakazi wa kuuza duka la vyakula na vitu vingine anahitajika.
MAJUKUMU
JINSIA: Awe mwanamke/msichana
- Atauza vitu vya dukani na kutunza kumbukumbu zote za mauzo.
- Atasafisha eneo lake la kazi kila siku
Umri: 16-25
Mshahara 100,000 kwa kuanzia.
Kuishi- awe anaishi kwao (Madale, Goba au Tegeta)
Muda wa kazi: saa 2 asubuhi Hadi saa 3 usiku.
Elimu: uanzia darasa la saba.
Kuanza kazi: Awe tayari kuanza kazi Mara moja.
Duka lipo karibu na kituo Cha polisi Cha madale.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI:Tuma message(WhatsApp) namba 0685566242.
Mwisho wa kupokea maombi ni 2/10/2023