N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Dec 5, 2015 #1 Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo. Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo. Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
mankizzo JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 658 Reaction score 521 Dec 5, 2015 #2 tuwekee na mshahara mana wana uliza kuna shi ngapi hko na wapi shamba lilipo nahao mifugo
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Dec 5, 2015 Thread starter #3 Shamba lipo Morogoro...salary 150 kuanzia.Nyumba na chakula plus medical care juu yetu