Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Mmmmh! Labda upande wa mara ila kwingine i doubtUtafiti usio rasmi unaonyesha watu wa ukanda wa kaskazini kuanzia West Kilimanjaro, Arusha yote tambarare ya serengeti na mkoa wa Mara,
Wanahitilafu katika ku Control Temper hii inasababishwa na nyama za maeneo hayo na maji.
Kuna madini ambayo humfanya mtu kushindwa kujizuia.
Uharibifu huu huenda mpaka kwenye ubongo.
Hahahaha huyo wa Arusha nimecheka, ila ukweli hata akikushika mkono ni bahati umepata lakini mzigo atakusaidia.Mwanaume wa Tanga
Mwanaume wa Arusha
Bibi huyo ndo unasema dada..OMG! Hivi mtu anaekupenda anaweza fanya hivi jamani! Hapo hakuna ndoa tena huyo dada bado ni mdogo sana asonge mbele na maisha yake.
Hana chochote huyo boya ila kuna watu wanachochea hii case mana yaliisha mdadogo pesa zinampa jeuri ...... kumuumiza hivyo ndiyo nini sasa? utakuta kisa mchepuko
Dogo dharau na ujuaji ndio itakua wajeda wamechochea case mana anamabifu nao sana kipindi cha nyumaYaani tukio lilitokea March 2016 alafu mashitaka January 2017 ?
kwenye hili tukio kuna nini chini ya 'kapeti'
Nilisikia mahali familia nzuri ni ile Baba kamzidi mke umri, urefu na kipato; sasa hawa marika wanaoana si lazima watakuwa wanashikana huko ndani? Mke hawezi mwamkia mumeo shikamoo maana wanalingana kiumri na isitoshe yeye ni mrefuko kuliko mumeweMfanya biashara maarufu wa madini jijini Arusha, Venance Mushi (30) maarufu kwa jina la sullu, amefikishwa Mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi mkewe kwa glassi usoni ,wakiwa wanasuluhishwa na wadhamini wa ndoa yao.
Mbele ya hakimu , Devota Msofe wa mahakama ya wilaya .Arusha ,mwendesha mashtaka wa serikali ,Agnesi Hyera alieleza mahakama hiyo kuwa mnamo marchi 11 mwaka 2016 katika maeneo ya Moshono kwenye usuluhishi wa mgogoro wa ndoa yao ,mshtakiwa alinyanyua glasi na kumpiga kwenye jicho la kulia mlalamikaji (mkewe) Agnesi Joseph (30)iliomjeruhi vibaya .