Mfanyabiashara Mwenza/Bussines Partner

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Habari za jioni wakuu,
Natafuta wafanyabiashara wenza/bussines partner katika uwekazaji wa kisasa kwenye kilimo cha biashara.

Wanahitajika angala watu 9 na mimi nikiwa wa 10,tunawekeza kwenye kilimo cha kibiashara.

Mradi tunategemea kuanzisha kati ya mikoa ifuatayo,Manyara(babati),Singida au Dodoma.Pia partners wanaweza kupendekeza zaidi kadiri tutakavyo ona inafaa.

Tutaendesha mradi kwa mfumo wa kampuni/hisa.
Fedha,Dhamana au Mali zitakua chini ya umiliki wa kampuni kisheria.

Mradi utaendeshwa kitaalamu kabisa kuanzia hatua ya awali mpaka ya mwisho.

Tutaajiri wafanyakazi wataalamu wachache kwa makubaliano maalumu ya kisheria kama mabwana shamba,wataalamu wa umwagiliaji n.k Ambao hawa watatoa maelekezo yatakayotekelezwa na vibarua.

Tutafanya kazi kwa karibu na taasis za kilimo kama SUA,Chuo cha kilimo Tengeru au chochote kilichopo karibu na mradi.

Kwa kuanzia tunatarajia kununua pembejeo,zana za kisasa za kilimo kama trekta,seeder,weeder,irrigation equipments n.k kama ambavyo tutakubaliana kwenye vikao vya wanashare na kwa kufwata ushauri kutoka kwa wataalamu kilimo.
NB Pia kama capital itakavyo turuhusu.

Tunatarajia kujenga/kufungua simple on site camp hukohuko shamba ili kurahisisha usimamizi hatua kwa hatua na kujenga morali kwa vibarua.

Kampuni itafanya kazi kwa umakini wa hali ya juu kwa kila hatua ili kupunguza risk za uharibifu na kuongeza tija.

Malengo na matarajio ya awali ya kampuni ni kuzalisha na kuuza,Hii ni kutokana na uhaba wa mtaji.
Lakini kwa baadae tutafikiria namna ya kiprocess kwa faida zaidi.

Ushauri,Maoni na Mambo Mengineyo tutapeana kwenye vikao vya wanahisa ili pia kuweza kuandaa mchanganuo rasmi wa biashara (bussines plan)

Mtaji.
Kama kampuni na kwa kilimo cha biashara,tunategemea kuanza na hekari 100.
Kampuni inatarajia kuanza na angalau cash on hand capital ya Tsh 100,000,000/
(Yes Tsh milioni 100)
NB Maoni ya wanahisa pia yatasikilizwa kwa umakini.

Mazao Pendekezwa.
Ufuta,Alizeti,Mahindi au Vitunguu Swaumu.

Hisa.
Kila hisa moja itauzwa kwa gharama ya Tsh 100,000/=
Kila mwanahisa atatakiwa kumiliki angalau kiasi cha Hisa 100.
Hisa hizi zitanunuliwa kwa awamu kadhaa kama ambavyo itapendekezwa.

Idadi ya wanahisa.
Kampuni inategemea kuanza na idadi ya wanahisa wasiopungua kumi,lakini pia wanaweza kuongezeka kutegemeana na utayari wao,na uhitaji wetu wa kimtaji.

Masoko.
Kwa aina ya mazao niliyotaja hapo juu,pasi na shaka hakuna atakayenibishia juu ya uhitaji wake masokoni.
Lakini pia kwa baadae kama tutashindwa ku process, tutatafuta makampuni yanayo nunua mazao ghafi na kuingia nayo mkataba wa kisheria kuwauzia mazao yetu,Hili linawezekana pia.

Malengo ya baadae.
Kukuza uzalishaji,Kuongeza mtaji (Hii tunaweza kupitia TIB-Tanzania Investment Bank,
Hawa wamefungua dawati lao linaloitwa Tanzania Agriculture Development Bank)
Wako tayari kutoa mkopo wa zana
Zozote na pembejeo za kiasi chochote kwa vikundi rasmi vinavyofanya kilimo cha biashara.
Masharti yao ni angalau muwe mmelima kwa awamu 2 na bank statement ya kueleweka.

Nakaribisha maoni,challenges na walio na utayari juu ya hili.

Shime Shime vijana wenzangu,kilimo kinalipa.
Karibuni.

Kwa wenye utayari mnaweza ni pm namba zenu za simu tupange namna ya kukutana.
 
Saf sana Mkuu!! Daaa nimeipenda mno bt sijui nianzia wap ndugu yangu, coz nilisha weka mipango sehemu nyingne
 
Asante mkuu kwa idea yenye akili...tukiwa na vijana kama wewe...sio tu nchi itapiga hatua kimaendeleo bali itapiga msamba kimaendeleo.....heko kijana....
Binafsi nimevutiwa sana mpango wako nakutakia kila lenye heri mkuu...utie ajira kwa vijana wenzio wanaongoja urithi kutoka kwenye mali za baba zao baada ya kutafuta za kwao....
 
Usjali mkuu wakati mwingine unaweza kutujoini na mambo yakasonga,
Lakini pia mchango wako wa mawazo pia utatushibisha zaidi mkuu.
 
Asante mkuu kwa idea yenye akili...tukiwa na vijana kama wewe...sio tu nchi itapiga hatua kimaendeleo bali itapiga msamba kimaendeleo.....heko kijana....
Binafsi nimevutiwa sana mpango wako nakutakia kila lenye heri mkuu...utie ajira kwa vijana wenzio wanaongoja urithi kutoka kwenye mali za baba zao baada ya kutafuta za kwao....
Shukrani mkuu,wakati mwingine mtu uki hustle sana akili inawaza mbali,karibu.
 
Habari za jioni wakuu,
Natafuta wafanyabiashara wenza/bussines partner katika uwekazaji wa kisasa kwenye kilimo cha biashara.

Wanahitajika angala watu 9 na mimi nikiwa wa 10,tunawekeza kwenye kilimo cha kibiashara.

Mradi tunategemea kuanzisha kati ya mikoa ifuatayo,Manyara(babati),Singida au Dodoma.Pia partners wanaweza kupendekeza zaidi kadiri tutakavyo ona inafaa.

Tutaendesha mradi kwa mfumo wa kampuni/hisa.
Fedha,Dhamana au Mali zitakua chini ya umiliki wa kampuni kisheria.

Mradi utaendeshwa kitaalamu kabisa kuanzia hatua ya awali mpaka ya mwisho.

Tutaajiri wafanyakazi wataalamu wachache kwa makubaliano maalumu ya kisheria kama mabwana shamba,wataalamu wa umwagiliaji n.k Ambao hawa watatoa maelekezo yatakayotekelezwa na vibarua.

Tutafanya kazi kwa karibu na taasis za kilimo kama SUA,Chuo cha kilimo Tengeru au chochote kilichopo karibu na mradi.

Kwa kuanzia tunatarajia kununua pembejeo,zana za kisasa za kilimo kama trekta,seeder,weeder,irrigation equipments n.k kama ambavyo tutakubaliana kwenye vikao vya wanashare na kwa kufwata ushauri kutoka kwa wataalamu kilimo.
NB Pia kama capital itakavyo turuhusu.

Tunatarajia kujenga/kufungua simple on site camp hukohuko shamba ili kurahisisha usimamizi hatua kwa hatua na kujenga morali kwa vibarua.

Kampuni itafanya kazi kwa umakini wa hali ya juu kwa kila hatua ili kupunguza risk za uharibifu na kuongeza tija.

Malengo na matarajio ya awali ya kampuni ni kuzalisha na kuuza,Hii ni kutokana na uhaba wa mtaji.
Lakini kwa baadae tutafikiria namna ya kiprocess kwa faida zaidi.

Ushauri,Maoni na Mambo Mengineyo tutapeana kwenye vikao vya wanahisa ili pia kuweza kuandaa mchanganuo rasmi wa biashara (bussines plan)

Mtaji.
Kama kampuni na kwa kilimo cha biashara,tunategemea kuanza na hekari 100.
Kampuni inatarajia kuanza na angalau cash on hand capital ya Tsh 100,000,000/
(Yes Tsh milioni 100)
NB Maoni ya wanahisa pia yatasikilizwa kwa umakini.

Mazao Pendekezwa.
Ufuta,Alizeti,Mahindi au Vitunguu Swaumu.

Hisa.
Kila hisa moja itauzwa kwa gharama ya Tsh 100,000/=
Kila mwanahisa atatakiwa kumiliki angalau kiasi cha Hisa 100.
Hisa hizi zitanunuliwa kwa awamu kadhaa kama ambavyo itapendekezwa.

Idadi ya wanahisa.
Kampuni inategemea kuanza na idadi ya wanahisa wasiopungua kumi,lakini pia wanaweza kuongezeka kutegemeana na utayari wao,na uhitaji wetu wa kimtaji.

Masoko.
Kwa aina ya mazao niliyotaja hapo juu,pasi na shaka hakuna atakayenibishia juu ya uhitaji wake masokoni.
Lakini pia kwa baadae kama tutashindwa ku process, tutatafuta makampuni yanayo nunua mazao ghafi na kuingia nayo mkataba wa kisheria kuwauzia mazao yetu,Hili linawezekana pia.

Malengo ya baadae.
Kukuza uzalishaji,Kuongeza mtaji (Hii tunaweza kupitia TIB-Tanzania Investment Bank,
Hawa wamefungua dawati lao linaloitwa Tanzania Agriculture Development Bank)
Wako tayari kutoa mkopo wa zana
Zozote na pembejeo za kiasi chochote kwa vikundi rasmi vinavyofanya kilimo cha biashara.
Masharti yao ni angalau muwe mmelima kwa awamu 2 na bank statement ya kueleweka.

Nakaribisha maoni,challenges na walio na utayari juu ya hili.

Shime Shime vijana wenzangu,kilimo kinalipa.
Karibuni.
 
Nina uhakika kwa idea hii...wadau utawakimbia...hata mimi ningekuwa na uwezo ningekuwa na wewe bega kwa bega....kwani kupitia mpango huu nakuona kwa mbali ukiendesha Vogue au Private jet.....

Big up...
Yote kheri.hakuna linaloshindikana,kikubwa uhai mkuu.
 
Nimevutiwa na wazo hilo. Kwa sasa nipo safarini. Naomba unicheki kwa email ya machah@yahoo.com

Aisee wazo zuri sana! Nami ningependa kushiriki ila nimeshaweka "commitment" zangu katika kilimo nikiwa binafsi.Ila ushauri wangu Hapo kwenye mikoa ongeza mkoa wa MOROGORO na katika mazao yatakayolimwa ongeza zao la MPUNGA ambako huko Morogoro maeneo yanapatikana na mpunga unakubali kwa sana.Lakini pia Ushauri wangu mwingine siyo lazima mkaanza kwa kulima mnaweza pia kuanza kwa KUNUNUA MAZAO KUTOKA KWA WAKULIMA NA KUYAUZA BAADA YA KUYAONGEZEA THAMANI.
 
Back
Top Bottom