Japo watanzania tumeambukizwa kutoaminiana ila nina imani wapo wenye mioyo safi! Natafuta mtanzania aliyepo Kampala, nina wazo zuri la biashara kati ya nchi hizi mbili. Kazi yake ni kufanya utafiti wa soko kwa maana ya bei, wafanyabiashara wanaohusika na biashara hii, nk.
Idea na mtaji ninavyo tayari! Njoo PM kwa maelezo zaidi