soweto85
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 301
- 247
za asubuhi wapendwa !
nimewaza kwa sauti tu. hivi ikatokea maajabu ya dunia siku members wanaingia jf, wanakuta kwenye ID zao mbele kuna jina kamili, lile lile mtu analotumia kama official name, mambo yatakuwaje ? na ukiangalia jinsi watu wanavyojiachia humu, eeeeeeehe !!
navuta picha kwa mbaali !!
wakina miss chagga, paprika, mahondaw, miss natafuta n.k, wakiwa ndani ya mahijabu ya kininja...!!!
brother mshana jr, buji buji, daby, n.k, wakiwa ndani ya kofia kubwa za pama na miwani ya jua ya kufa mtu ...!!
nieleweke nasema kwa mfano tu..!!
j'pili njema wapendwa.