Mfahamu snake eels


Hiyo Mariana Trench naelewa issue hapa ni kuwa chini ya ardhi sio chini ya usawa wa bahari
 
Mkuu pamoja na maelezo mazuri na ya nyongeza pia, hao ni nyoka kiongozi.
 
Asante kwa maelezo,kama ndio hivi baharini hakufai
 
Hiyo Mariana Trench naelewa issue hapa ni kuwa chini ya ardhi sio chini ya usawa wa bahari
Mkuu, mada inahusu eels na hawa wanapatikana baharini tu. Ulichouliza ni inakuaje kuona picha futi 3000 chini ya ardhi, na kwa sababu eels hawapatikani chini ya ardhi ndio nikakuelezea kuhusu kina kirefu ya Mariana Trench.

Lakini hata ardhini kuchimba kisima zaidi ya futi 3000 chini ya ardhi sio kitu kigumu kumeza. Warusi wanayo kisima Kola Superdeep Borehole huko Pechengsky District, Kola Peninsula. Wameichimba kufika futi 40,230 (12,262 mtr) na lengo ilikuwa kufika 15,000 mtrs lakini haikuwezekana kuchimba zaidi kwa sababu ya joto kuongezeka kadri unavyokaribia Earths mantel, na uchimbaji ulisitishwa 1992.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…