Mfahamu snake eels

Huo umbali huko chini si ni giza totoro tupu
 
Wanaliwa?
 
Picha namba tatu wanafananana wale ambao wanapiatikana Ziwa Victoria, wanatisha ukiwa Mgeni ukamnasa huyo Samaki unaweza kukukimbia ukaacha Matete au Nyavu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha namba tatu wanafananana wale ambao wanapiatikana Ziwa Victoria, wanatisha ukiwa Mgeni ukamnasa huyo Samaki unaweza kukukimbia ukaacha Matete au Nyavu!
 
Nimeona documentary moja apa NAT GEO WILD

Hao. Eel wanauwezo wakugenerate electric current zenye uwezo wakuua hadi mamba
They also know as ELECTRIC EEL
 
Huyu ni tofauti na electric Eel huyu anaitwa snake eel wanatoka familia ya EEL.

Snake Eel hana umeme ana sumu tu.

Elwctrick Eel ndie hugenerate umeme.

Electric Eel hapatikani baharini.

Picha ifuatayo ni ya ELECTRIC EEL.
Nimeona documentary moja apa NAT GEO WILD

Hao. Eel wanauwezo wakugenerate electric current zenye uwezo wakuua hadi mamba
They also know as ELECTRIC EEL
 
nilivyoona picha nimemuonea huruma sana
 
Mkunga anaishi maji baridi na sidhani kama anapatikana kwenye chumvi.
 
Hivi ukimuona kwenye maji unawezaje kumkimbia nimewaza tu


Wewe kiranga gani kikutume umfuate huko majini??!!, si wewe mwenyewe utakuwa umemfuata nyumbani kwake, na akikupa za uso utamlaumu nani?!!. wewe maisha yako ni hapa ardhini ambapo utakula kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…