Mfahamu Manute Bol

Duh! God is Great. Hawa watu walikuwepo katika dunia ya zamani, nowdays naona wanapungua.
 
Duh! God is Great. Hawa watu walikuwepo katika dunia ya zamani, nowdays naona wanapungua. But still some of them remains to show us the "mighty works" of the CREATOR.
 
Huo ni ugonjwa uitwao Malfan syndrome

It's marfan syndrome...

Ila mimi na-doubt kama jamaa alikuwa na hiyo kitu...

Ukitazama vimo vya wazazi wake ambapo mama yake alikuwa na urefu wa 6ft 10in na baba yake urefu wa 6ft 8in, ni wazi kuwa mtoto anaweza akawa mrefu...

Pia baba wa babu yake Manute alikuwa na urefu wa 7ft 10in...

Na pia jamii ya huko watokapo kina Manute ni moja ya jamii za wanadamu wenye vimo virefu duniani, watu hawa wapo pia Afrika Magharibi haswa Senegal...
 

Asante mkuu...
 
Vipi, alikuwa anaweza ku-dunk? Na je alizaliwa na kufa mwaka gani?

Duh!!

Andunje wa 5' 5" anaweza kudunk, sembuse tolu wa 7' 7"?

Kazaliwa October 16, 1962 Turalei (sasa South Sudan) na kafariki June 19, 2010 huko Charlottesville, Virginia USA
 
Yeah! you are right, nimekumbuka vilivile marfan syndrome huambatana na joint hyper flexibility........ back to medical school, pathology remembering Dr. Chande (MUCHS) by that time. He was very funny.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…