-Mwaka 2001 alikua na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikua ni marafiki wakubwa sana.
sasa watanzania wanashindwa kila sekta hadi vitandani
Hii ya kuwa rafiki na Mourhino inasaidia nini kwenye mpira wetu?
Simba na uongozi wake nayo ni bomu kama alivyo malinzi.
Na nakuhakikishia Simba hii haitakaa ichukue kikombe cha ligi kuu kwa miaka mingize zaidi ya miwili endapo itaendelea na viongozi aina ya Aveva na Hanspope.
Wewe kila msimu kocha mpya na wachezaji wapya
Kopunovic alikubali dau waliloweka viongozi wa simba...why hakupewa mkataba.....Kopunovic alishaifahamu timu.....mfumo wake wachezaji walishauzoea...sasa unaleta mtu mwingine mwezi mmoja kabla ya ligi kuanza na unategemea matokeo mazuri?
Huo ni undorobo tu

Naimani anajifunza mengi sana toka kwa Mourinho.. na hii inatokana na kufahamiana nae tangu enzi hizo wanajifunza ukocha.
-Ni mzaliwa wa uingereza,ana umri wa 48.
-Katika kipindi anasakata kabumbu amepitia timu kadhaa kama Leeds, Reading, Kilmanock, Hamilton.. alikuwa ni miongoni mwa beki "katili" wa kipindi hicho.
-Msimu wa 1993/94 alichuguliwa kuwa mchezaji bora wa Reading FC pia alikua katika kikosi cha mwaka.
-Mwaka 2001 alikuwa na Jose Mourinho [ndio huyo huyo wa chelsea] darasa 1, wakiisaka leseni ya UEFA daraja A.. na walikuwa ni marafiki wakubwa sana.
-Mwaka 2005 ndo alikabidhiwa leseni yake ya ukocha.
-Alianza kufundsha mpira mwaka 2009 nchini S.A, na alikaa huko hadi mwaka 2011.
-Kuanzia mwaka 2011 hadi msimu uliopita alikuwa akifundisha timu ya Hai Phong FC na msimu uliopita aliiwezesha kuchukua FA CUP, na kuiwezesha kufuzu Asia Champions League.
Maoni Yangu.
"Upele umepata Mkunaji."
Mkuu we need to come out with serious arguments
Hizi sifa ambazo ni za kipuuzi hazitusaidii kwenye mpira
wangapi wamesoma na Obama au Kikwete Darasa moja...Je wote wamepewa ushauri mzuri na kikwete au obama kuwa marais wazuri?
Hizi siasa za mpira wa Tanzania ni za hovyo sana...Na ndio maana siku zote tunabaki hapahapa tu
Naimani anajifunza mengi sana toka kwa Mourinho.. na hii inatokana na kufahamiana nae tangu enzi hizo wanajifunza ukocha.
Ameiwezesha timu yake KUFUZU Asian champions league kwenye hatua gani!!Hahaha.. Ila msimu ulioisha ameiwezesha timu yake kufuzu Asian Champions League, ambayo level za UEFA Champions League au Klabu Bingwa ya Africa.. kwa hili nazani anatosha.
Hahaha.. Ila msimu ulioisha ameiwezesha timu yake kufuzu Asian Champions League, ambayo level za UEFA Champions League au Klabu Bingwa ya Africa.. kwa hili nazani anatosha.