Baada ya kupoteza meno yake, na kusababisha kubatiwa jina la Jangala Pengo mapera, alijifunza 'ustaarabu'Hapa alijaribiwa😀😀😀😀😀😀kwanini sasa anasema hajaribiwi Bwana Mapengo?
Hapa alijaribiwa😀😀😀😀😀😀kwanini sasa anasema hajaribiwi Bwana Mapengo?
[emoji53] Na hili ndo lengo kuu hasa la thread, maana huwezi huwezi kutabasamu bila ya kuwana Upendo.Huu uzi unachekesha
Ila Jangala kasema keep smiling hata kama unamapengo.
ukiwabana watu kwa wasipite kulia watapita kushoto hiyo ndio maana au ukiwazuia watu wasipite wkt wa mwanga watapita wkt wa giza![emoji41] sijakuelewa mkuu, una maana gani kusema hivyo?