Immortal_MH JF-Expert Member May 14, 2013 1,240 2,252 Feb 1, 2019 #2 meza nzuri sana hiyo mkuu ila mbona hujasema na bei ya hivyo vigoda
monopoly inc JF-Expert Member Dec 20, 2016 5,265 11,307 Feb 1, 2019 #3 me4u said: Habari ndugu zangu Nauza meza ya chakula na viti vyake, ni kama vile bado mpya tu nimetumia kwa miezi miwili... Bei shilingi laki tatu na nusu, ipo jijini Dar es salaam 0621026804 Click to expand... Hivi we ukiambiwa ni tapeli utabishaje? Hata matangazo ya waganga Wa kienyeji hayawekwi hivi
me4u said: Habari ndugu zangu Nauza meza ya chakula na viti vyake, ni kama vile bado mpya tu nimetumia kwa miezi miwili... Bei shilingi laki tatu na nusu, ipo jijini Dar es salaam 0621026804 Click to expand... Hivi we ukiambiwa ni tapeli utabishaje? Hata matangazo ya waganga Wa kienyeji hayawekwi hivi
M me4u Member Oct 26, 2012 42 13 Feb 1, 2019 Thread starter #4 Immortal_MH said: meza nzuri sana hiyo mkuu ila mbona hujasema na bei ya hivyo vigoda Click to expand... Bei nimeandika hapo mkuu, shilingi laki tatu na nusu pamoja na viti vyake
Immortal_MH said: meza nzuri sana hiyo mkuu ila mbona hujasema na bei ya hivyo vigoda Click to expand... Bei nimeandika hapo mkuu, shilingi laki tatu na nusu pamoja na viti vyake
M me4u Member Oct 26, 2012 42 13 Feb 1, 2019 Thread starter #5 monopoly inc said: Hivi we ukiambiwa ni tapeli utabishaje? Hata matangazo ya waganga Wa kienyeji hayawekwi hivi Click to expand... Kitu gani ambacho hujakielewa kwenye post yangu
monopoly inc said: Hivi we ukiambiwa ni tapeli utabishaje? Hata matangazo ya waganga Wa kienyeji hayawekwi hivi Click to expand... Kitu gani ambacho hujakielewa kwenye post yangu
monopoly inc JF-Expert Member Dec 20, 2016 5,265 11,307 Feb 1, 2019 #6 me4u said: Kitu gani ambacho hujakielewa kwenye post yangu Click to expand... Kama unaona tangazo lako limekamilika ni sawa bas Biashara njema watakuja
me4u said: Kitu gani ambacho hujakielewa kwenye post yangu Click to expand... Kama unaona tangazo lako limekamilika ni sawa bas Biashara njema watakuja