Meya wa Ilala (Chadema) asema Watumishi wazembe na wezi watawafyekelea mbali, amwomba majina DC Mjema.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,890
Meya wa manispaa ya Ilala ambaye pia ni diwani kwa tiketi ya Chadema amemtaka DC wa Ilala kumletea majina ya wezi wa fedha za Umma na watumishi wazembe ili kamati zake ziwafyekelee mbali. Meya huyo amesema maendeleo hayana chama wala itikadi na kwamba mwizi ni mwizi tu awe Chadema au CCM.
Source TBC!
 
Back
Top Bottom