Shame to huyo meya
kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na cdm wakiacha jazba, uchaguzi wa naibu meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.
Read btwn the line na usipende kutoa matusi kama mashoga.unaumwa!
Sure, kwa taratibu na kanuni zote zilizoko sasa hivi CHADEMA wako safi zaidi kum impeach huyo meya na kumuondoa kwa kura ya kutokuwa na imani nae. Meya aliyeko ni lazima asome nyakati. Ana madiwani wachache kulinganisha na CHADEMA. Kwa hali ilivyosasa inaonekana wazi CCM imepoteza mwelekeo kwa Arusha na inabidi wajipange upya na kuanza mikakati mipya laa sivyo watapoteza kila kitu!Kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na CDM wakiacha jazba, uchaguzi wa Naibu Meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.
Ndo maana wajuzi wa siasa za serikali za mitaa hatuoni mantiki ya maandamano na vurugu zilizotokea with all these avenues.Sure, kwa taratibu na kanuni zote zilizoko sasa hivi CHADEMA wako safi zaidi kum impeach huyo meya na kumuondoa kwa kura ya kutokuwa na imani nae. Meya aliyeko ni lazima asome nyakati. Ana madiwani wachache kulinganisha na CHADEMA. Kwa hali ilivyosasa inaonekana wazi CCM imepoteza mwelekeo kwa Arusha na inabidi wajipange upya na kuanza mikakati mipya laa sivyo watapoteza kila kitu!
Kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na CDM wakiacha jazba, uchaguzi wa Naibu Meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.
Kaa ukijua kuwa Uchaguzi wa Meya Arusha utaitishwa very soon!
Kwa habari ya Mawazo(yule malaya wa Kisiasa), kata yake iko vacant, na uchaguzi mwingine utafanyika,...how soon, hilo ni suala la kiutawala na menejimenti ya local governments.