Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
Wacha upumbavu Mbulula wewe, Jerry Silaa ni Kilaza mpumbavu mkubwa kabisa, kazi kujishauwa kwenye mabango na kuuza sura kwenye blog kwa kutumia mwamvuli wa Umeya wakati kazi imeshamshinda pimbi kabisa huyu.Wewe mwemyewe una usafi kiasi gani?
Kumbe ilikuwa ni kero ya Ikulu na siyo kero za Wananchi!! kwahiyo hilo ni agizo la Mkwele hana credit yoyote katika hilo, jaribu tena kuja kumpamba kwa lingine.ameweza maliza lile tatizo la shombo pale feri huyu jamaa ni kidume wacheni tu ilikuwa ni kero iliyopindukia shombo mpaka ikulu kha
Wacha upumbavu Mbulula wewe, Jerry Silaa ni Kilaza mpumbavu mkubwa kabisa, kazi kujishauwa kwenye mabango na kuuza sura kwenye blog kwa kutumia mwamvuli wa Umeya wakati kazi imeshamshinda pimbi kabisa huyu.
Kumbe ilikuwa ni kero ya Ikulu na siyo kero za Wananchi!! kwahiyo hilo ni agizo la Mkwele hana credit yoyote katika hilo, jaribu tena kuja kumpamba kwa lingine.
Kwa hisani ya Ikulu, powered by Mkwele.sijasema ni agizo la ------ ila ilikuwa ni aibu mpaka huko unasikia m aharufu nasikia kuna siku alikuj atembelea eneo hilo akajisikilizia arufu ndio akaanza mkakati wakuimaliza kweli imeisha kabisa