Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Naskia arosto ya unga ni hatari sana mateja wapo tayari kuua ili apate buku tu ya unga. Madawa yakiruhusiwa mateso yataongezeka. Juzi nilisikiliza mahojiano ya aliekuwa demu wa chidbenz anasema mtu mmoja akivuta unga kwenye familia ni sawa na kusema familia nzima inatumia unga kwa mateso watakayopata ikiwa ni pamoja na wizi,hofu,huzuni nk.Dawa ya kuzuia mauaji ni kuruhusu biashara ya unga iwe halali dunia nzima. Mwenye kuutaka anunue na asiye utaka auache. pombe na sigara, zilikuwa hivyo lakini kwa sasa hakuna shida na wapo walevi na ambao sio walevi.
Huko Marekani wameruhusu matumizi ya bangi, siku hizi husikii sijui drug dealer wala nini, na crime imepungua.
Wakiruhusu biashara ya unga hata Mexico patakuwa kama Geneva, Switzerland tu.
Hakuna haja ya kuzuia biashara ya unga iruhusiwe. Watakao penda watatumia,na wasipenda watauacha.
Hapa Tanzania kuna Bar kila kona, wapo walevi na wapo wasiowalevi, na wapo wale seasonal walevi, yani wakizikamata wanalewa. Iwe hivyo kwenye Unga.
Hapana hayo unayaona kwasababu haujaruhusiwa, ukiruhusiwa unapatika kwa urahisi kunakua hakuna wizi, unapatikana hadi kwa mkopo.Naskia arosto ya unga ni hatari sana mateja wapo tayari kuua ili apate buku tu ya unga. Madawa yakiruhusiwa mateso yataongezeka. Juzi nilisikiliza mahojiano ya aliekuwa demu wa chidbenz anasema mtu mmoja akivuta unga kwenye familia ni sawa na kusema familia nzima inatumia unga kwa mateso watakayopata ikiwa ni pamoja na wizi,hofu,huzuni nk.
Mexico inateseka na itaendelea kuteseka sana na haya mauaji sababu ipo jirani na nchi yenye soko kubwa la madawa ya kulevya duniani (Marekani).Sijui yule mdada marichui walimuua....!!,maana simuoni siku hizi.
Mexico wanaizidi Hadi Syria iliyoko vitani
Hawazidi serikali jeshi la Mexico liko vizuri tu,tatizo Hawa druglord hawana mchezo,yaani wakigundua judge au polise fulani Ni kichomi wanakufuata na kukupa option,pokea pesa uwalegezee ama ufe,na Kama una ulinzi mkali,family yako itakufa,Sasa huwezi weka ulinzi kwa ukoo mzima,Tatizo huko Mexico drug cartels wana hela ndefu kuliko serikali na wana mavifaa ya kivita ya kisasa pengine kuliko ya serkali yao
UmenenaHawazidi serikali jeshi la Mexico liko vizuri tu,tatizo Hawa druglord hawana mchezo,yaani wakigundua judge au polise fulani Ni kichomi wanakufuata na kukupa option,pokea pesa uwalegezee ama ufe,na Kama una ulinzi mkali,family yako itakufa,Sasa huwezi weka ulinzi kwa ukoo mzima,
So kabla hawajakufuata wanakuwa na file lako details zote,watoto wanakosoma,address yako,mama yako Yuko wapi etc,,,lazima utalainika tu,
Ndo maana druglord wakikamatwa wanapelekwa USA,,,Askari wanaokamata lazima kuvaa mask
ukiruhusiwa na bei yake itashukaHapana hayo unayaona kwasababu haujaruhusiwa, ukiruhusiwa unapatika kwa urahisi kunakua hakuna wizi, unapatikana hadi kwa mkopo.
Ngoja waje waruhusu ndio utaelewa naongelea nini.
Dawa ya kuzuia mauaji ni kuruhusu biashara ya unga iwe halali dunia nzima. Mwenye kuutaka anunue na asiye utaka auache. pombe na sigara, zilikuwa hivyo lakini kwa sasa hakuna shida na wapo walevi na ambao sio walevi.
Huko Marekani wameruhusu matumizi ya bangi, siku hizi husikii sijui drug dealer wala nini, na crime imepungua.
Wakiruhusu biashara ya unga hata Mexico patakuwa kama Geneva, Switzerland tu.
Hakuna haja ya kuzuia biashara ya unga iruhusiwe. Watakao penda watatumia,na wasipenda watauacha.
Hapa Tanzania kuna Bar kila kona, wapo walevi na wapo wasiowalevi, na wapo wale seasonal walevi, yani wakizikamata wanalewa. Iwe hivyo kwenye Unga.
Dawa ya kuzuia mauaji ni kuruhusu biashara ya unga iwe halali dunia nzima. Mwenye kuutaka anunue na asiye utaka auache. pombe na sigara, zilikuwa hivyo lakini kwa sasa hakuna shida na wapo walevi na ambao sio walevi.
Huko Marekani wameruhusu matumizi ya bangi, siku hizi husikii sijui drug dealer wala nini, na crime imepungua.
Wakiruhusu biashara ya unga hata Mexico patakuwa kama Geneva, Switzerland tu.
Hakuna haja ya kuzuia biashara ya unga iruhusiwe. Watakao penda watatumia,na wasipenda watauacha.
Hapa Tanzania kuna Bar kila kona, wapo walevi na wapo wasiowalevi, na wapo wale seasonal walevi, yani wakizikamata wanalewa. Iwe hivyo kwenye Unga.
Latin America kuna shida sana ya madawa ya kulevya sishangai kuuana katika scale hii
Nchi ambazo hakuna utumiaji mkubwa wa drugs huwa hakuna homicides katika rate za juu hata siku moja India, China being the case
Sent using Jamii Forums mobile app
USA ndio soko kubwa la madawa ya kulevya (linalolipa vizuri) hii ndio sababu ya raia wa Mexico kuteseka.Ndo maana druglord wakikamatwa wanapelekwa USA,,,Askari wanaokamata lazima kuvaa mas
Hawaelewi wao wanadhani kila kitu ni kuzuia tu.Wewe umeongea point ilakwa sasahuwezi kueleweka
Wanaruhusu tu uone, hutosii machafuko tena.Hawawezi kuruhusu kwani hela hizo nyingi ndio zinaendesha asilimia kadhaa katika baadhi za nchi
Unga unaingia sana USA kutoka huko
Angalia sehemu zote panapotikana OIL, DRUGS kama cocaine na pia Madini lazima Kuna machafuko
Jiulize kwanini hawatoki Afghan
wapo sasa mwaka wa 19 na wanajeshi wa kizungu zaidi ya 2500 wamekufa na USA pekee wametumia zaidi ya $1t yes 1Trillion
Yote hiyo wanapata zaidi ya hiyo kwa Poppy
Uarabuni kwa Mafuta, na huko cocaïne africa Madini
Wao (wazungu) hawawezi kuifanya cocaïne iwe kawaida kama bangi itakuwa ni sawa na kusema diamondziuzwe kama gololi
Sent from my iPhone using Tapatalk