Metl Tañzania-Mohamed enteprises Tanzania Limited huajili kiudini,vyeo hupeana kiukoo na huangalia rangi...

Una point ila huonrkani kama una akili nzuri, jipa ge weka hoja.
Na wewe umegundua jamaa ana point ila haonekani kama ana akili nzuri alivyokoroga hoja kama pombe ya dadii na manguree,nawe una pointi ila huonekani kama upo sawa kimaandishi,hebu soma ulichooandika maandishi kama mtorii wa jioni!!!Kajipange tena. .
 
Mimi ni miongoni mwa Waajiri wa Tanzania , nina zaidi ya wafanyakazi 300 nchi nzima , ila kiukweli kuwaajiri waafrica wa kitanzania inataka moyo wa chuma , hawajui kazi hata kama ni wasomi , ni wavivu , walevi , wezi na hata wasichana wanafanya ufuska ofisini yaani ni aibu na inataka uwe ni mzalendo hasa .

Kama ningekuwa na roho ngumu ningeajiri rangi nyingine
Mmmmh!
 
Metl Tanzania Iimited wanavunja sheria ya ajira nchini kwani vyeo vyote wamepeana kwa msingi wa rangi japo hata ktk suala LA ajira wamekuwa wakibàguana ktk rangi zao

Pia ukiwa Mkristu ni nadra kupewa ajira

Mh.rais mstafu Dr.Jakaya aliwahi sema MTU yeyote mwenye elimu ukitoa udaktari na sheria anaweza akafanya kazi yeyote lakini Metl wamekuwa wabinafsi kwa kudai wanaajili proffesionals na kunyima Watanzania ajira wakati ninà mfano hai wa Dr.wa mifugo PHD wa chuo cha Riti Mpwapwa Dodoma alienunua gari Ulaya kwa kufanya kazi viwandani

Nb:Sijui kama hata kama kodi wanalipa ña ikiwa wanalipa mishahara stahiki au wanalipana wao vizuri na Waswahili Kuhenya

MELT naona kama unawaonea

Wabaguzi wakutupwa ni BAKHRESSA GROUP OF COMPANIES
 
Hata mimi ningefanya hivyo hivyo, yaani waarabu na wahindi wasingeonekana hata kwenye ulinzi. Kwanza wana ushirikina sana hao majitu
 
Hiyo kawaida kwa hao watu
Kwa kweli inabidi na sisi tujitahidi ili tuwapite, kwani nchi ni yetu walahi!
Tujitahidi kwenye ku focus kwenye mambo ya kutengeneza pesa!
Maana hawa watu wana umoja kwenye kila kitu walahi na kutengeneza pesa ndio focus yao kubwa!
Tubadilike tuna weza walahi!
That’s all
 
Mbona hukusema, hata kwenye vitorori vya lambalamba za AZAM lazima awe mwenzetu?
Acha ubaguzi!
 
ungetafuta mtu mwenye akili au uelewa ukamweleza hili jambo ili aje akuandikie kisomi. kwa wewe ulivyoandika....inasikitisha sana. kama walikunyima kazi wewe kwa hili lako hapana hawakukuonea.hata mimi nisingekupa kazi ungenilaumu tu kuwa nimekubagua kwa sababu ya dini,rangi au kabila. ila kwa uandishi huu... fungua duka tu ndugu yangu.
Gudume, ahahaaha, duka!
 
Kwa kweli inabidi na sisi tujitahidi ili tuwapite, kwani nchi ni yetu walahi!
Tujitahidi kwenye ku focus kwenye mambo ya kutengeneza pesa!
Maana hawa watu wana umoja kwenye kila kitu walahi na kutengeneza pesa ndio focus yao kubwa!
Tubadilike tuna weza walahi!
That’s all
Kweli kabisa mkuu
 
Metl Tanzania Iimited wanavunja sheria ya ajira nchini kwani vyeo vyote wamepeana kwa msingi wa rangi japo hata ktk suala LA ajira wamekuwa wakibàguana ktk rangi zao

Pia ukiwa Mkristu ni nadra kupewa ajira

Mh.rais mstafu Dr.Jakaya aliwahi sema MTU yeyote mwenye elimu ukitoa udaktari na sheria anaweza akafanya kazi yeyote lakini Metl wamekuwa wabinafsi kwa kudai wanaajili proffesionals na kunyima Watanzania ajira wakati ninà mfano hai wa Dr.wa mifugo PHD wa chuo cha Riti Mpwapwa Dodoma alienunua gari Ulaya kwa kufanya kazi viwandani

Nb:Sijui kama hata kama kodi wanalipa ña ikiwa wanalipa mishahara stahiki au wanalipana wao vizuri na Waswahili Kuhenya

boss hiyo ni kampun ya mtu binafsi na ana maamuz yake, hizo kelele peleka kwenye secta za serikali ambako kuna kodi yako inakatwa
 
Mimi ni miongoni mwa Waajiri wa Tanzania , nina zaidi ya wafanyakazi 300 nchi nzima , ila kiukweli kuwaajiri waafrica wa kitanzania inataka moyo wa chuma , hawajui kazi hata kama ni wasomi , ni wavivu , walevi , wezi na hata wasichana wanafanya ufuska ofisini yaani ni aibu na inataka uwe ni mzalendo hasa .

Kama ningekuwa na roho ngumu ningeajiri rangi nyingine
Maajabu. Mengi na wengine wengi waafrika viwanda vvao vinafanikiwa kwa kuwatumia hao unaosema waafrika watanzania. Je huko kazi yao ni kuendeleza hayo unayosema? SI VINGEFUNGWA. Kuna NA MAELEZO KUTOKA KWA WAZALENDO WA VIWANADI KUWA WANALETWA WATU WA NJE HAWAJUI KAZI BAADA YA MUDA WA KUKAA NA WAZALENDO WAKAPATA UJUZI BASI MBAWAFUKUZA WAO. HILI NI LALAMIKO LA MAHALA PENGI VIWANDANI.
 
Sio ubaguzi huo bali ni utii na nidhamu katika kazi
Utafundishwa miaka hata ukiwa mfagiaji tu lakini ni lazima kila siku uambiwe mbona hapo pachafu?

Kwa kweli wengi kazi hawafanyi kama inavyotakiwa hata umfanyaje na ukikaa vibaya unaibiwa hata pen

Tuache kulalamika na ubaguzi bali tubadilike wenyewe na tuwe waaminifu na wachapa kazi
Kuna makampuni utakuta wameajiri wakenya sio ubaguzi bali wanajali kazi zao

Ulaya magharibi wameajiri sana watu kutoka Romania na Poland sio kwamba wanzungu wengine ni waizi bali hawapendi kufanya kazi masaa mengi na weekend kwa hiyo inawafanya waajiri hao na ni wachapakazi haswa.

Hapo hatuwezi kumuamulia mtu na kampuni yake
 
Maajabu. Mengi na wengine wengi waafrika viwanda vvao vinafanikiwa kwa kuwatumia hao unaosema waafrika watanzania. Je huko kazi yao ni kuendeleza hayo unayosema? SI VINGEFUNGWA. Kuna NA MAELEZO KUTOKA KWA WAZALENDO WA VIWANADI KUWA WANALETWA WATU WA NJE HAWAJUI KAZI BAADA YA MUDA WA KUKAA NA WAZALENDO WAKAPATA UJUZI BASI MBAWAFUKUZA WAO. HILI NI LALAMIKO LA MAHALA PENGI VIWANDANI.
mbona hata mimi kiwanda changu kinaendelea ? hili la kazi kusonga haliwezi kuzuia ukweli kuanikwa , unadhani kwanini waafrika wenye ujuzi wanatimuliwa wanaletwa ngozi nyingine ? lazima kujiuliza mkuu
 
ungetafuta mtu mwenye akili au uelewa ukamweleza hili jambo ili aje akuandikie kisomi. kwa wewe ulivyoandika....inasikitisha sana. kama walikunyima kazi wewe kwa hili lako hapana hawakukuonea.hata mimi nisingekupa kazi ungenilaumu tu kuwa nimekubagua kwa sababu ya dini,rangi au kabila. ila kwa uandishi huu... fungua duka tu ndugu yangu.
Wasomi unaowakusudia ni Lipumba na kabudi?
 
Mimi ni miongoni mwa Waajiri wa Tanzania , nina zaidi ya wafanyakazi 300 nchi nzima , ila kiukweli kuwaajiri waafrica wa kitanzania inataka moyo wa chuma , hawajui kazi hata kama ni wasomi , ni wavivu , walevi , wezi na hata wasichana wanafanya ufuska ofisini yaani ni aibu na inataka uwe ni mzalendo hasa .

Kama ningekuwa na roho ngumu ningeajiri rangi nyingine
Kama una uwezo wa kuajiri watu mia tatu, sharti ni kwamba wasiwe wabeba boksi tu... una waste time huku bro kwa kulia lia tu... hama nchi !! Ukajenge ki-empire chako...
 
Back
Top Bottom