Methali za kabila la wajita

Nini maana ya "chikananda gela gela nikuyane bhusima na nyama"?
Chikananda ni karanga zilizosiginwa au ufuta uliosiginwa, Miaka hiyo tulikuwa tunachukua Chikananda unaweka kwenye kiganja cha mkono wa kushoto, halafu unapigapiga mkono kwa chini ukiwa unaimba huo wimbo. Kugela ni kutoa mafuta.
 
Lete na methali za kabila la wasukuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…