Methali za kabila la wajita

*Bhulikiindi bhulikimbali,bhuli kumwene bhulikumunu
*Obhwato obhukila ingai
*wabhulwa wasaya
*Eyakulwanja eiseka eyamunyungu
01.Bhuli kuundi bhuli kumbali
(Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu).

02. Eyakulwanja eiseka eyamunyungu...(Mwenzio akinyolewa za kwako tia maji, Usicheke kilema, hujafa hujaumbika).

03. Wabhulwa wasaya (Maneno ya mkosaji)

04. Obhwato ubhukila ingai
(Heri kuwa na kidogo kuliko kukosa kabisa).
 
hiyo misemo wanikumbusha Kitambo Kile pande Za bukongo ukerewe ...nyumbani sweet nyumbani
 
Nini maana ya "chikananda gela gela nikuyane bhusima na nyama"?
 
04. ?
 
Obwato bhukila ingai (sikio halizidi kichwa)
 

Wamala chimwi mkaluka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…