Meteorologists popote mlipo:world meteorology day

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
Leo Ni siku yetu wadau wa masuala ya Hali ya hewa.theme ya mwaka Huu 2019 inasema THE SUN,THE EARTH AND THE WEATHER..
Some tunajua jua ndio chanzo Cha nishati yote hapa ulimwenguni,ndio inayosababisha wave katika bahari na kuathiri pakubwa pamoja na kuchangia pakubwa Sana katika mzunguko wa mvua.
Jua ndilo linalotupa mood ya kufanya shughuli mbalimbali kutilia ndani Sanaa mbalimbali,uchukuaji wa picha na mziki
 
Daaah umenikumbusha Intro to mateorology na Agro-mateorology....

Kupitia kozi hizo ndio nilipata jua neno "CORN" ni mahindi.
 
Daaah umenikumbusha Intro to mateorology na Agro-mateorology....

Kupitia kozi hizo ndio nilipata jua neno "CORN" ni mahindi.
Chuo umepiga kigoma au WI
 
Jua ndiyo chanzo cha nishati Duniani na Jua ndio chanzo cha Uhai Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…