The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,145
- 8,029
Acha kuleta udini na kuilaumu dini kwenye hii issue.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Mkatabaaawakee kuvunjaa nyokooo mpwaa balaaaa wachaa abakii na VIJANA mpaka amalizee hukoo hatareee alijipanga kwenye mkatabaAcha kuleta udini na kuilaumu dini kwenye hii issue.
Kuna matatizo Kati ya serikali ya China na waislamu. Sasa ozil alipojaribu kuwasemea wale waislamu serikali ya China ilikasirika na wakachukua maamuzi ya kuiadhibu arsenal kwa kufanya mambo haya matatu
1) mechi yao iliyokuwa inafuatia ( vs city) ikafutwa na pia mechi zote zilizofuatia zinazoihusu arsenal zikafutwa
2)Kuna mikataba Kati ya arsenal na makampuni mbalimbali ya china. Sasa mikata hiyo ilikuwa mbioni kufutwa kwasababu ya swala la ozil
3) arsenal wanamiliki migahawa mingi huko china. Migahawa hiyo ikawa mbioni kufungwa kutokana na swala la ozil
Baada ya haya mambo matatu Uongozi wa arsenal ukaamua kuchukua hatua ambazo tunaziona leo
Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine
Hao Waisrael na hao Wachina sio Wakristo mkuu.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestians ……..
Ukweli ni kwa sababu anatetea waislam wanaoteswa. Lakini ingekuwa wengine Dunia nzima ingelimsapoti. Wale waislam wa china wanaoteswa ingekuwa wa dini nyengine dunia ingesapoti, ingekuwa mashoga wale basi dunia ingesapoti lakini kwa sababu ni waislam, imekuwa anachanganya dini, siasa na mpira 😀Sina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,
Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
Acha kuleta udini na kuilaumu dini kwenye hii issue.
Kuna matatizo Kati ya serikali ya China na waislamu. Sasa ozil alipojaribu kuwasemea wale waislamu serikali ya China ilikasirika na wakachukua maamuzi ya kuiadhibu arsenal kwa kufanya mambo haya matatu
1) mechi yao iliyokuwa inafuatia ( vs city) ikafutwa na pia mechi zote zilizofuatia zinazoihusu arsenal zikafutwa
2)Kuna mikataba Kati ya arsenal na makampuni mbalimbali ya china. Sasa mikata hiyo ilikuwa mbioni kufutwa kwasababu ya swala la ozil
3) arsenal wanamiliki migahawa mingi huko china. Migahawa hiyo ikawa mbioni kufungwa kutokana na swala la ozil
Baada ya haya mambo matatu Uongozi wa arsenal ukaamua kuchukua hatua ambazo tunaziona leo
Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine
Kule kwa asilimia kubwa ni dini ya Kiyahudi, uislam ni wa pili, Ukristu ni wa tatu afu kuna dini za nyingine ndogo ndogo. Sioni uhusika wa nchi za Kikristu hapa.kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi vikali kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestina na hapo alifichua internal feelings zake ambazo ki ukweli wakistro wengi tunazo dhini ya Israel……..
Inawezekana pia kuwa sababu maana alikasirisha wadau wengi na ile Kauli yake ya kulaani unyanyasaji wa waislamu wa Uighur huko China.Sina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,
Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
Arsenal nao pia wanamuhitaji Ozil Vile vile, sina data za 2020 ila mpaka mwishoni mwa mwaka jana Ozil ndio alikuwa anaongoza Mauzo ya Jezi, Alimpita mpaka Auba. Hivyo hata kama Hachezi anawaingizia Arsenal mpunga Mrefu.Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine
Umeelezea vzr ila kuna changamoto nyengine. Ozil hauziki coz Timu nyingi zinakwepa ile salary package yake.
Duuu ndio Mana Plato hakupenda sanaa demokarsia Mana inatoa Uhuru Wa watu kuongea chochote anachojisikia kama hivi!kiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi vikali kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestina na hapo alifichua internal feelings zake ambazo ki ukweli wakistro wengi tunazo dhini ya Israel……..
Hizi story imezitoa wapikiukweli sisi wakistro ni wabaguzi na tuna visasi vikali kuliko waislam, Ozil anaadhibiwa kwa kutetea hadharan haki za waislam, Ronaldo 'C7' alifurushwa real Madrid na kuuzwa Italy kwa kutamka tu kuwa hafurahishwi na jinsi waisrael wanavyo watendea wapalestina na hapo alifichua internal feelings zake ambazo ki ukweli wakistro wengi tunazo dhini ya Israel……..
ImeshamuharibiaHuyo dogo dini itamuharibia carriar yake ajitathimini kauli za udini kwa waislam China imepelekea timu ya arsenal kupata air time kwenye media.
Umeguswa pambaya.[emoji16][emoji16][emoji16]Acha uongo wewe Wachina siyo Wakristo ishu ya Ozil ni wachina ndo wamei blackmail Arsenal... na Waislael siyo Wakristo na Ronaldo hajafukuzwa kwa swala hilo...acha uongo.
Unapata ujasiri wa kuandika vitu vya uongo? huoni aibu?
Hana chembe ya uoga wala unafiki,kabaki kwenye msimamo wake.Ozil katema sumuView attachment 1610328
Uwongo huo[emoji849][emoji1787]Mshkaji alianza dharau kwa kuwa anapokea mpunga mrefu zaidi ya wachezaji wote. Inasemekana alikuwa pia hahudhurii online meetings za wachezaji. Yaani anamzidi mshahara hadi Arteta kwa mbali sana.
Huenda aligoma pia kuwa loaned out pamoja na kukataa pay cut.
Ila adhabu wanayompa ni kubwa sana.
Kwahiyo unyanyasaji wa uislamu hauwi unyanyasaji mpaka ufanywe na mkristoSasa hapo mzee mwenzangu ukristo umeingiaje mana wachina hata dini hawana hapa naona umeamua kutumia hisia zako binafsi