Messi tena!

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,904
Reaction score
1,364
Messi amechaguliwa tena kuwa mwanasoka bora duniani kwa mwaka wa tatu mfululizo. Amefikia rekodi ya Michel Platin.
Akiendelea hivi huenda akapata hata mwaka wa nne maana sioni nearest challenger kwa sasa. Aliopambana nao katika kinyang'anyiro hicho wanaelekea ku-decline! Hongera sana
 
Mbili na tatu kachukua nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…