Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Oct 21, 2018 #1 Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa goli 1 na kufunga goli 1 Mwisho wa mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2 Aidha, majeraha haya ya Messi yanasababisha aukose mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu Hispania maarufu El Classico Mchezo huo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unatarajiwa kuchezwa Oktoba, 28 mwaka huu
Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa goli 1 na kufunga goli 1 Mwisho wa mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2 Aidha, majeraha haya ya Messi yanasababisha aukose mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu Hispania maarufu El Classico Mchezo huo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unatarajiwa kuchezwa Oktoba, 28 mwaka huu
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,548 Oct 21, 2018 #2 No Ronaldo no Messi..... Haitakuwa na mvuto...
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,261 Oct 21, 2018 #3 Si mbaya watachuana benzema bale, surelezz na wengine
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,881 Reaction score 5,022 Oct 21, 2018 #4 Itakuwa El Classical ambayo haina mvuto! Labda ni fursa kwa wengine kung'aa!
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,989 Reaction score 5,653 Oct 21, 2018 #5 Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee!
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,680 Reaction score 6,382 Oct 21, 2018 #6 Waseme tuwaazime ajibu
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Oct 22, 2018 #7 nkuwi said: Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee! Click to expand... Nessi ndiyo nini?
nkuwi said: Kama nessi amevunjika na mnyama cr7 amehama, basi mechi iahirishweee! Click to expand... Nessi ndiyo nini?
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Oct 22, 2018 #8 Asingepata majeraha yangefika magoli 7....