Messaging Authentication API

Graph

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
2,735
Reaction score
6,170
Kwa developers, ningependa kama kuna mtu anafahamu any messaging api specifically kwa mitandao ya Tanzania, nahitaji kuweka feature ya authentication kwa kumtumia user sms yenye pin number.

I cant go with services za nje kama Twilio kwa sababu ni very expensive kwa mitandao ya Tanzania, $0.04/sms is a lot.

Nauliza kama kuna a better solution even a paid one but cheaper au kama hakuna then i'll fall back to making a script itakayoziforward messages kupitia gsm modems tu.
 
Sidhani kama kuna such a thing. Moja kwa sababu ya wateja hakuna na pili sina hakika wangapi wanaweza kuandika hizo mambo.

Fallback option ya kutumia GSM modem sio practical hata kidogo. Nashauri uandike au utafute mwandishi wa MAC api kwa kushirikiana na makampuni ya sms push services
 

Thanks mkuu, nitajaribu kwenda kuwa~contact hawa jamaa nione kama kuna uwezekano wa kutengeneza something reliable. Also thought gsm modems ni too hackish ni kama manual work inayoweza break at any moment.
 
Thanks mkuu, nitajaribu kwenda kuwa~contact hawa jamaa nione kama kuna uwezekano wa kutengeneza something reliable. Also thought gsm modems ni too hackish ni kama manual work inayoweza break at any moment.
Yup. Kama hutakuwa na muda wa kuandika api tunaweza kuongea biashara ; )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…