Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Ingekuwa ajira ungepata kirahisi. unauzoefu wa miaka mingi.
 
Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
Kuna jamaa alinihadithia, kuna wakati rafiki yake alimwita wapige maji. Wakiwa wanaendea kunywa akapokea sms ya rafiki mwingine waende kwenye bata zao (ndiyo ulikuwa mpango wake siku hiyo).

Akamjibu "nipo mahali nakunywa pombe za fala flani", wakati wa kusend ikaenda kwa rafiki yake waliyekaa naye......Ilikuwa aibu sana kwa sababu anamheshimu sana jamaa.
 

Wanachogambana nn sasa? Aende kwa jamaa Mbwa yeye
 
Weeh. Kuna wanaume wababe. Anakamatwa na mkewe akichepuka na kibao anageuziwa mwanamke kuwa hana adabu na anamchunguza mno. Dunia ya leo kuna kipa dizaini Mungu kaziumba akaziacha hapo. Utashangaa
Koho koho...
 
Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
We fundi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] mbinu zote wazijua hatareeee!
 
Watu weng siku hiz hawajui maana ya ndoa yaan wapo wapo si wanaume si wanawake. Ww umeoa au kuolewa halaf bado unachepuka sasa umeoa au kuolewa kufanya nn?
Usaliti wa mapenz unagharimu sana ndugu yangu unaweza sema ni rahic tu lkn yakukuta ndio utajuwa.
Ukipendwa hebu tulia acha kuangalia huko nje. Weng wakipendwa huwa wanaviburi sana, anajua hawez kuniacha atanisamehe tu.
Za mwiz arobaini,hata km ungekuwa msir kias ipo siku tu utakamatika ule uaminifu kwake kwako unaisha, hatakupend km zaman, atakuchukia sana.
Tulien kweny ndoa
USALITI unagharimu sana ww endelea kucheat tu. Utajiona mjinga kati ya wajinga waliobobea ktk fan ya ujinga siku yakikutokea.
NEVER TRUST A WOMAN
Nikiona mtu kagongewa mke naona km nimegongewa mm vile. Roho huwa inaniuma sana. Pole mzee mwenzangu, piga chin huyo mwanamke au mfanye housegirl tu
 
Aisee kama namuona uso ulivyomshuka maanake yule 'fala' anaemnywesha bia anaweza kuisoma halafu akakaa kimya tu. Mimi muhusika niliemtumia alinijibu kistaarabu tu 'ukiwa unatuma msg kwa wenzio uwe makini' yakaishia hapo.
 
Ndio tatizo la kutuma meseji za analogia. Angetumia wasap sidhani kama haya yote yangetokea.
 
Ndio maana naamini kuchepuka ni kujitafutia shida tu. Kila ukituma sms uwe makini, simu huachani nayo, akiishika mwenzako unatamani kutoweka duniani kwa muda...

Yote hayo ya nini.
 
Ndio maana naamini kuchepuka ni kujitafutia shida tu. Kila ukituma sms uwe makini, simu huachani nayo, akiishika mwenzako unatamani kutoweka duniani kwa muda...

Yote hayo ya nini.

Umeona eh?

I always tell folks that cheating is too stressful to not be worth it when all is said and done.
 
`Waambie mahali kama itazidi 500000 nawaachia mwanao na mtoto wangu akizaliwa namchukua sinunui bidhaa mimi' ni text iliyoingia kwangu badala ya mwanafunz aliepew ujauzito na EX ndio mwanzo wa kujua ukwel!!!!!!! akyanaN unazimia,,,,,,,.

Pole sana
 
Sitasahau nikiwa form two nikamwandikia barua Dada mmoja sasa barua ikawa c/o kupitia sanduku la posts la mama.ebwana mama si akaifungua kuisoma.baadae akanipigia kupitia kwa mwalimu wetu mmoja hivi alikuwa academic ananiuliza huyo Hawa ni nani nilichoka aisee.kilichofuata ni mawaidha kibao.daaah sitaisahau ile.
 
Upo sahihi sna hapa King'asti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…