Hahahahah sipati picha ya hilo farangati hapo...Uliweza solve hiyo balaa...Maana hapo wanaume wengi tunaishiwaga hadi mate mdomoni mate yanakauka chap unabaki unajichekesha chekesha tu...Ila ishu hii mimi imenitokea liivvveee.... Nilikua nasafiri kwenda kwa wife... Nikaandika msg ya kumuaga mchepuko ..... Hakyananii nikaituma huko nnakoenda... Nyeeee.. Acheni tu .
Noma sana...Usiombe yakukute, ilishawai kunitokea namtumia mseji mfanyakazi meenzangu msg ikaenda kwa Boss..nilikuwa namwambia upuuzi flani hivi kuhusu huyohuyo boss wetu alafu nimekaa nae jirani, ikafika akasoma, nakumbuka tulikuwa SUB SCANIA pale, BOSS akaniuliza ni mwarabu gani ana mambo ya kisenge? Umenitumia msg hapa inasema huyu mwarabu wako ana mambo ya kisenge ni yupi huyo? Nikajibu vya kuunga unga tuu nashukuru hakutilia mkazo sababu alikuwa na furaha zake na dill lake pale SCANIA vinginevyo kingenuka.
Siku za mwizi 40 ikifika hata ufanyeje utakamatwa tu.
Kabisa shida ni kuwa mazoea yakizidi mno watu hupoteza umakini ..akiamnin wakati nasubiri kufunguliwa gate kuingia hme nitafuta msg zote na called history zote zenye mashaka, balaa inakuja siku ya 40 kila kitu kinawekwa hadharani..Mchepuko/hawara unampigia simu..Msg ni risk zaidi..
Halafu kuna watu bado wanadai eti wanawake huwa hawachepuki.....
Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!Kuna kujisahau ndugu....ni vigumu sana kuwa makini kwa asilimia 100 kwa wakati wote.
Na ni rahisi sana kutuma ujumbe wa simu kwa mtu ambaye siye....
Mimi hapa sichepuki trainer. Ni bora tu uamini.
Halafu kuna mtu alikuwa ananizonga eti ww ni mchepuko wangu. Bahati nzuri tu Mimi sio mwepesi wa hasira, ningekutokea!
Hahahaaa sasa mi nitakuwaje mchepuko wako ilhali sijui hata unafananaje?
Some people man....
Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
hahaaaaa kwa wachepukaji wa mwendokasi hao lakini ukiwa unajua nini umekosa ndani na nini unafata nje huwezi kuwa hivyoIla sifa mojawapo ya michepuko ni vimeseji fulani hivi vya kumfanya mlengwa kujiona yeye ndo yeye ili huduma iboreshwe zaidi na zaidi..
Na ukitaka kujua wanaume hadi ile sauti ya base hutuisha ukute mwanaume tena wa miraba minne kakamwatwa kwa njia yeyote tu na wife wake akiwa kwenye maandalizi ama kwenye eneo ana chepuka ....Ni balaa sana..Nafikiri formulae ya kuchepuka ilipaswa kuwa moja tu, ufanye endapo haujali tena mahusiano yako. Ni upuuzi kukutwa na mwenza wako ukichepuka halafu ukaomba msamaha, manake hautakaa uaminike tena.
Sasa Kama una chepuka huku bado ndoa unataka lazma jasho na fedheha vikuhusu.
Wakati huu huwa mfupi sana ila wenye mahangaiko makuu mno..Pale unapobonyeza send then ndo akili inarudi..Mara nyingi ukiwa unachat na watu wawili kwa mpigo ndio unajichanganya....nilijichanganya siku moja nilitamani nione msg niikamate! Halafu nyingine uki send tu ndio unashtuka hapo hapo!
Na ukitaka kujua wanaume hadi ile sauti ya base hutuisha ukute mwanaume tena wa miraba minne kakamwatwa kwa njia yeyote tu na wife wake akiwa kwenye maandalizi ama kwenye eneo ana chepuka ....Ni balaa sana..
Pia kama unachati na watu zaidi ya wawili. Wakati mwingine inatokea unachati na wtu hata watano kwa mpigo na katika hao wawili labda ni michepuko....
Kaazi kweli kweli.
Nilimtumia SMS mchepuko ikaenda kwa binti yangu. Ilikuwa aibu ya kutoshaMama John hakutakiwa kuwa na mchepuko full stop.
Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Hehehe. Ww ni mshindi wa ndondo cup.michepuko miwili kwa mpigo?
I give up
Asante kwa elimu dear, nilikuwa sijui kama wanawake nao huchepuka!Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe