Mh, ikawaje?Mi yng ilienda kwa mama mkwe!
Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Siku za mwizi 40 ikifika hata ufanyeje utakamatwa tu.
i cant stop laughing hahhahahaNilishakuwaga na dili moja la pesa na anko wangu....sasa kipindi nataka nimtumie mesej anko kumuambia kwamba huyo jamaa tunataka kumpiga hela kashtuka ile mesej nkaituma kwa jamaa tunaetaka kumpiga hela....mesej niliandika hivi...."hoya anko huyu jamaa naona kama kashtukia"....jamaa hakunitafuta tena na dili ikaisha
hahaaaaaa maisha yenyewe mafupi hayaHahaaaa utakuwa mchepukaji mwandamizi wewe maana umeshazi master mbinu za mchezo....
Balaa hutokea pale unapojisahau kidogo tu...Hata nukta zikiunganishwa kwa umakini huleta tafsiri iliyo sahihi..Na epukaga saaana kutaja majina [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ili hata ikienda ndiko siko isishtukiwe
Hahahahaha hiyoo hatariiMi yng ilienda kwa mama mkwe!
Hakujua kumbe kidumu kilikua na petrol, sasa imelipuka😀😀Ni kweli ila ndiyo maisha yake aliyoyachagua kuwa na kidumu pembeni...
kuna uzii humu unaelezea jinsi ya kuchepuka bila kukamatwa ingebidi ausome umesaidia weng sana sijui huko wap siku hiz