Ndalahwa Fundi
Member
- Oct 16, 2011
- 7
- 1
Waislamu ni watu wa ajabu sana, Ok sensa imehesabu waislamu ni 87% what next? Barabara zitakuwa ni ten ways au mafuta yatashuka bei?
Na wala hutapata jibu Mkuu!TIMING said:kuna tatizo gani kuondoa kipengele cha dini kwenye sensa?? hadi sasa sijapata jibu
Hawatakaa na kuwasikiliza Waislamu kutokana na kujawa na kiburi, yote hii ni mazoea ya kuwatawala,kuwaburuza na kuwakandamiza kwa muda mrefu, hivyo hawawezai hata kuona haya mabadiliko yanayokuja kwa kasi.Ndiyo maana nasema, viongozi wa waislam wasikilizwe. Hakuna ubaya kabisa wa kujua idadi ya waumini wa dini mbalimbali au makundi mbalimbali katika jamii yetu. Ombi la viongozi wa waislam likataliwe endapo tu kuna uhakika wa kutaka kuzitumia takwimu za sensa kwa nia mbaya, na hata katika hilo ni lazima kupima kwa ulinganifu, yaani faida na hasara za kufanya au kutofanya sensa ya namna hiyo. Viongozi wa waislam wana hoja lakini wapunguze munkari na mashinikizo. Wanachokiomba siyo kitu cha ajabu.
Wacha mauongo bana
Tanzania's population has been estimated to consist of:
Christian 62%,
Muslim 35%,
followers of indigenous religious groups 3%
Kaka msg umeisoma ukiwa na mtizamo hasi, na hili ni tatizo siyo kwako tu bali hata kwa wenzako wengi. Msg haichochei kitu isipokuwa ni taarifa ya kiimani inayowahusu waislam, wewe kama siyo muislam hiyo msg haikuhusu na wewe jipange kuendelea na sensa. madai ya waislam ni ya kimsingi na hakuna hoja ya kuyafanya yaonekane kama hivyo unavyodhani. acha msg serikali imesha pewa taarifa ya kimaandishi kuwa kama sensa haitoweka vipengele muhimu basi mhesabiane nyinyi wenyewe wengi wakristo. Ni aibu kubwa sana kwenu kwani mitandao yenu mnajitangaza mko wengi sasa mwahofia nini kwa kipengere cha dini kuwekwa? Mrudieni Mungu, otherwise mtapotea.
Mungi, statistics za dini, kabila zinatofautiana depending who is giving them i.e CIA, wizara, mungi mwenyewe, au mtu yoyote. Hizo number ulizota mwingine anaweza kutoa set tofauti, but the point I am trying to make here is this, kujua au kutojua idadi ya waumini wa dini mbalimbali hakuna madhara kwenye mipango ya serikali.
binafsi ni mkristo ila SITASHIRIKI sensa.!
serikali imekua ikipuuzia kitengo cha takwimu na haipangi shughuli za maendeleo kupitia takwimu hizi za sensa na nyinginezo.
Sensa ingetumiwa vizuri:
1. Kusingekua na ukosefu wa walimu na vifaa vya elimu
2. Kusingekua na ukosefu wa huduma za afya
3. Kusingekua na ongezeko kubwa la ukosefu wa ajira
4. Kusingekua na mgao wa umeme
5. Kusingekua na foleni na msongamano ktk jiji la Dsm
etc
binafsi naona ni upuuzi kushiriki jambo kwa ajili ya kuombea mikopo na misaada ambapo haininufaishi kwa chochote
Na wala hutapata jibu Mkuu!Hawatakaa na kuwasikiliza Waislamu kutokana na kujawa na kiburi, yote hii ni mazoea ya kuwatawala,kuwaburuza na kuwakandamiza kwa muda mrefu, hivyo hawawezai hata kuona haya mabadiliko yanayokuja kwa kasi.
Kivyovyote vile aidha wayasikilize au wasiyasikilize madai ya Waislamu(sio Sheikh Ponda peke yake),kuna advantages kwa Waislamu katika hili.
Wanabodi kuna message inasambaa kwenye mitandao ya simu imeandikwa"WAISLAM WOTE NI MARUFUKU KUSHIRIKI KTK ZOEZI LA SENSA.ATAKAYEKIUKA WARAKA HUU ATAKIONA CHA MOTO MBELE YA ALLAH."
my take
message Kama hizi za kichochezi ni hatari sana ikizingatiwa hili zoezi linaendeshwa na serikali ambayo hafungamani na dini yeyote
Pasco Makazi hupimwa sambamba na makisio ya idadi ya watu,sehemu za kujenga misikiti/makanisa pia hupimwa.Kumbuka Tanzania ni nchi isiyofungamana na dini yoyote hivyo hakuna mtu yeyote mwanye akili za kijuha kugawa makazi kutokana na itikadi za kidini,mfano kilimanjaro uwaweke waisilamu ama wakristo tu,haiwezekani hata siku moja kwa nchi kama Tanzania kwa sababu uhamaji wa ndani ni mkubwa sana ,leo hii sehemu ambapo kulikuwa na wakristo tupu kuna waisilamu .Pia ujua mipango ya makazi huwa inafanywa kwa kufocus miaka zaidi ya 25 mbele.Hizo fikra za kutotenga maeneo ya misikiti kwa sababu mahala fulani wapo wakristo ni ufinyu wa mawazo unauhakika miaka 100 ijayo kuwa hakutatokea familia za kiisilamu!!!? .Funguka kaka mkubwa,hao wanaotoa hayo matamko na zaidi ya hicho wanachokiainisha.Mkuu Mwakalinga, with due respect, nimeuliza kuna ubaya gani kujua Watindiga wamebaki wangapi?. Kwa taarifa tuu, hivi jee unajua hadi wanyama wetu wenyewe tumefanyiwa sensa na wazungu?. Jee unajua ni wazungu ndio walijua tembo, mamba, vifaru wako kwenye hati hati ya kutoweka?. Kama mnyama tuu anahesabiwa ili alindwe, itakuwa makabila?.
Nimeuliza na please lets be genuine, put aside religious sentiments, nieleze kuna ubaya gani kujua idadi ya watu wa dini na makabila?.
Kwenye variables kuna kitu kinaitwa majority na minority, hivi unayo taarifa mpaka leo Tanzania hii, kuna makabila, hawalimi, hawapiki, wanaishi kwenye mapango na chakula chao ni matunda, mizizi na nyama mbichi?, unajua mahitaji yao ni unique?!, utajuaje kama hujawahesabu, au mpaka tusubiri wazungu waje watuambie watu wa kabila fulani ni endangered species?!.
Mipango miji wakipanga, wakatenga aneo la miskiti kwenye maeneo yenye nil muslim, huo msikiti utejengwa na kina nani and what for?!. Hao hao mipango miji, wanapaswa kutambua Muslim dorminated areas ili wareserve nafasi zaidi za misikiti!.
Naendelea kuuliza. kuna ubaya gani kujua?.
Bro kwa hili mie naamni kabisa wewe ndio brain washed, kwani unajipa Upogo wa kuliona jambo la takwimu kama halina maana. Bro its not you. Ni sawa na wewe uwe baba halafu eti huwajui watoto wako kijinsia, mtu anakuuliza "Baba Zebedayo" ivi una watoto wangapi -nawe unamjibu vizuri kabisa kuwa unao mfano 6, kisha muuliza swali anakuuliza wakike ni wangapi na wakiume ni wangapi unamjibu -sijui, hebu niambie huyo muuliza swali atakuona kama wewe ni baba mwenye akili timamu au takhira? sasa mfano huo ndio kama hicho unachokizungumzia,wewe ni raisi unaulizwa President Pro, Dr.Zebedayo ivi nchi yako ina jumla ya watu wangapi-unamjibu wako 50M, kisha anakuuliza nipe idadi zao kwa mujibu wa dini zao-kisha unabung'aabung'aa, kaka im sure marais wengine watakudharau kama alivyodharaulika Mh Rusinde.
Kaka msg umeisoma ukiwa na mtizamo hasi, na hili ni tatizo siyo kwako tu bali hata kwa wenzako wengi. Msg haichochei kitu isipokuwa ni taarifa ya kiimani inayowahusu waislam, wewe kama siyo muislam hiyo msg haikuhusu na wewe jipange kuendelea na sensa. madai ya waislam ni ya kimsingi na hakuna hoja ya kuyafanya yaonekane kama hivyo unavyodhani. acha msg serikali imesha pewa taarifa ya kimaandishi kuwa kama sensa haitoweka vipengele muhimu basi mhesabiane nyinyi wenyewe wengi wakristo. Ni aibu kubwa sana kwenu kwani mitandao yenu mnajitangaza mko wengi sasa mwahofia nini kwa kipengere cha dini kuwekwa? Mrudieni Mungu, otherwise mtapotea.