Message from android system:memory full

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Jaman nina cm yng kla muda inakuja message kutoka kwny android system inanambia eti memory yng imejaa ila nikiangalia memory nafac ipo ya kutosha ss cjui tatzo ni nin na nitaltatuaje hlo tatzo
 
Internal memory yake ni ngapi?
 
Jaman nina cm yng kla muda inakuja message kutoka kwny android system inanambia eti memory yng imejaa ila nikiangalia memory nafac ipo ya kutosha ss cjui tatzo ni nin na nitaltatuaje hlo tatzo

Virus Hizo. hata usihangaike popote zaidi ya "Master Reset tuu"...I mean Format Simu yako.
 
je hakuna apps inayoweza kuclean na ku control phone spacing
 
Nikidownload na nkifany shughul zote inakubal lkn tatz n hyo message 2 ndo cjui ina maana gan
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…