Tatizo hili kundi kila wakati linajihisi nyonge sijaelewa ni kwa nini? Ni bahati mbaya sana hili kundi limekuwa likitumiwa sana na watawala bila kujijua.CCM wameamua kuwekeza kwa muslims ili kila wakati wanapoguswa wanwaamusha hao jamaa na wao wankurupuka kama wanaonewa.This is very sad kwa jamaa zangu inabidi mzinduke.
Ki-chemically haikubaliki kabisa sababu;
TBS wanaruhusu uozo huu ufanyike????.
TFDA wamekuliana na uozo huu????
Haihitaji kutumia akili nyingi kubaini kama ndugu zangu waislam mnatumiwa kama ngao ya kuwakinga watawala bila kujijua