Habar zenu wakuu...
mimi ni kijana ambaye nimeamua kujiajili kutoa huduma ya umesenja mkoani mbeya, huduma zangu ni
1-kupeleka nyaraka(documents) ndani ya mbeya
2-kutuma nyaraka au mzigo nje ya mkoa..ntaupeleka mzigo stend ya mkoaa na kutuma
3- kwa wale ambao wana kuwa bize basi mimi natoa huduma ya kumpokea mgeni wako toka stendi ya mabas ya mkoa na kumfikisha unapotaka
nicheki PM kwa maelezo zaidi.
shukran.