kwa hiyo mwalimu dorothy nae anahusika?
Hapana hausiki anaposema kupitia simu ya dorothy wanamaanisha ni Handset tu kumbuka wale so called majambazi walimnyang;anya simu wakatupa line kwahyo walichomeka line yao(hapo ndio walipokosea) so kupitia line yao iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy ndio ikawa rahisi kufatilia hyo namba(iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy) ndio wakagundua hizo message,umeelewa?

Mkuu mie nilikua nafafanua tu jinsi wauaji walivyokamata sina tatizo na nini kilichosababisha mauaji ila ukiunganisha dots ni kweli hicho kifo kinahusiana na wivu wa kimapenzi na sio kesi kama uzi m1 hivi ulivyodai kwani mambo ya kesi yanakuwa handled na mahakama.Hivi tunaiumbaumba hii habari ya tukio la huyu Bwana kwa faida ya nani? Mimi nadhani mbali na ukweli uliopo kuwa kauawa kwa sababu ya uzinzi, tusubiri usanii wa polisi ili historia ya tukio ifike mwisho
Hawakukosea, walipatia ili waweze kukamatwa. au wakikamatwa inakukera? hivi majina yao unayo? kama hauna sema nikutajie. ila kwa utangulizi wakurya 4, mhuya mmoja.
Nimefurahi walivyokamatwa ila hao majambazi inaonekana sio pro ndio maana hawakuwa smart,unamaanisha nini unavyosema wakurya? Hao ni Hitmen tu.....
Uzinzi Shirikishi kazini!
Uzinzi Shirikishi kazini!
Waelimishe hawa mavuvuzela, kama NP hawajui kitu.kukuelewesha tu IMEI unayotumia wewe ipo kwenye database ya mtandao wako unaoutumia,kuipata imei yako wanatumia namba yako kuangalia kwenye system na kupata informations zako,swala la kwanza katika upelelezi wowote ni simu,mtu yeyote akipata matatizo kama hayo swala la kwanza kuangalia ni cm,kwakuwa wale wezi waliiba simu so ilikua rahisi sana kuwapata,IMEI ya Mwalimu hawakuwa nayo maaskari b4 bali waliifatilia kwenye kampuni husika ili kupata imei hili iwe rahisi kuwakamata hao majambazi.....