Meru yalipuka! Mabomu yaanza kurindima usiku huu

Lakini JK hajawahi kupiga kelele za kupinga rushwa na ufisadi hadharani kama ambavyo ole Sendeka alivyokuwa anajinasibu kwa muda mrefu.

hivii, ile soap opera ya "kujivua gamba" mwasisi wake ni nani vile??
 
Kwani hakuna petrol hapo walipo??
Huyo na mwizi wa toyo wanatofauti gani??

Piga kiberiti huyo!!
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!
 
Wamtie vidole kidogo ili kampeni zikiisha akamsimulie mke wake. Wamezidi bana, kilichopo ni kuchukua picha na video clipp ili waanikwe kama Lusinde alivyofedheheka kama juha vile jukwaani.
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!

Watu walisema Lusinde katukana leo, magamba kama kawaida yao wakabisha na mambo yalipokuwa hadharani mkahamanika.

Na hili nalo mnataka kubisha. Mpigie simu Olesendeka umuulize yuko wapu saizi atakupa majibu.
 
ipi tuiteni tuje tuongeze nguvu. Peopleeeeeeeeees Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!
 
NIna wasiwasi sana na ueledi wa hawa mamoderators wetu wa JF, mnawezeje kuacha jambo kama hili ambalo halina credible source kuendelea kueko jamvini? mmethibitisha hizi habari? laiti mtu angeandika slaa abambwa akitoa rushwa am sure habari hiyo hata kama ingekuwa ni ya kweli basi isingechukua round na kufutiliwa mbali! let us be realistic
 
pamoja sana mkuu, hapa unatakiwa kuwa makini. Ni kweli habari hii ingekuwa kinyume chake. Isingechukua raundi.
 
tumethubutu kutoa rushwa,tumeweza kuwapa watu rushwa na tutasonga mbele kutoa rushwa kwenye chaguzi zote hawa ndio magamba
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!

Tusaidie kwa kutuambia basi,alikuwa anafanya nn?? Sio unatutolea povu tu hapa kama teja wa unga!!
kweli kazi mnayo,hata malaya akiitwa malaya huja mbogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…