Mercy Masika: Live Performance mjini Dar es Salaam

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,906
Reaction score
7,119
Msanii maarufu wa nyimbo za Gospel kutoka Kenya Mercy Masika anatarajiwa kufanya Live Performance mjini Dar es Salaam.



Performance hiyo itafanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 9 Decemba, 2018.

Wote mnakaribishwa.

PS. Bado mimi mwenyewe natafuta tiketi zinauzwa wapi, kwa kweli sitaki kuikosa hii performance. Muziki wake umenibariki sana.

Mwenye taarifa tiketi zinapatikana wapi naomba atujuze.
 
Kuna uwepo wa Mungu kweli humu jamvini? Mmeupita uzi kama hamuuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…