Mercedes benz,ml 350 for sale

Mercedes benz,ml 350 for sale

amina paggy

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
37
Reaction score
1
Mercedes benz,ml 350,engine 3.7l,year 2005,mileage 94,000.never been used in tanzania,the car have good condition,the price is 37mil.if your seriuos contact 0657690970.
 

Attachments

  • 123432 amina.jpg
    123432 amina.jpg
    100.1 KB · Views: 158
  • 1234 amina.jpg
    1234 amina.jpg
    119.1 KB · Views: 153
Mercedes benz,ml 350,engine 3.7l,year 2005,mileage 94,000.never been used in tanzania,the car have good condition,the price is 37mil.if your seriuos contact 0657690970.
Dada,

Huu utakua labda ni uzi wa nne unapost about this car. Kama nyuzi zilizopita Hazikuzaa matunda basi ungeleta kwa styles tofauti labda bei ungepunguza, au ungepiga picha nyingi zaidi, au hata kwa ID tofauti ingawa sio poa.

Mheshimiwa Mbunge Mchungaji Peter Msigwa katika moja ya his valued speech alishawahi kusema kua UJINGA NI KUENDELEA KUFANYA JAMBO HILOHILO MOJA KWA KULIRUDIA RUDIA HUKU UKITEGEMEA IKO SIKU UTAPATA MATOKEO TOFAUTI.

Samahani lakini, ni mtazamo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom