Mercedes Benz G-class hii machine imesimama balaa

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Huyu mnyama kasimama balaa its my dream car but bei yake mkasi kinoma.
Ngoma ya 1997 mailage inasoma 154,000 km cc3100+ price inagonga $25,000

Za kuanzia 2003 ngoma inaanzia $34,000 kudadeki. Hii ngoma ukiikalia heshima debe ila tataizo mkwanja kaka. Its my dream car but I surender.
German machine
 
Mkuu unaijua dollar 3000?
Mkuu jeep zilizotumika hazina bei ila hizo Wrangler za miaka ya karibuni zipo juu ila kwa jeep sijui ya miaka ya 2005 mpaka 2009 utaipata kwa bei ndogo hizo Wrangler kuanzia 2015 kuja juu zimesimama sana na bei yake haishikiki...
 
Nadhani ataacha kelele mana anapima msuli wa Mercedes G-Class na Jeep Wragler
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…