Mercedes Benz E class

Chuma kali mkuu. Mid-size sedan hiyo inagombana na wakina 5 Series, A6, Lexus ES nk.

Ila kabla hatujaenda mbele, unataka exactly generation ipi? Forth Gen (2019-2015) wenyewe wanaiita W212 au Fifth Gen (2016-2022) au kwa code ya W213.

Ila yoyote utakayochukua E Class ni kali. Kikubwa jitahidi sana preventive maintenance, usisubiri Tatizo likue ndio ufix.

Wazo tu: Hivi mnawezaje kuendesha gari refu vile? C Class ndio naonaga perfect size, kama 3 Series ya BMW ila 5 Series na E au S naonaga marefu sana kama semi.
 
Mwaka hui huo chukua E250 7G-Tronic. Katika gari za Mjerumani Benz iko reliable zaidi
Kuna rafiki yangu aliniomba ushauri kablq hqjachukua nikamwambiq qchukue hio anayo tangu 2018 .
Uwe mstaarabu kama gari yenyewe. Siwezi kuzungumzia gharama maanake hadi umeamuq kununua hio MB maanake unajua unachofanya.
 
Ha ha ha ha sasa mimi gari fupi mwisho Crown. Mimi ni mwendo wa E class,5 series. Hayo madude marefu yametulia barabarani balaa. Kona za highway unalala nalo tu .
 
pamoja mkuu
 
Hawa ma zombie TRA wamepandisha Ushuru ila naruka nao hivyo hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…