Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,490
- 41,158
Haval ya 2023 hii wanataka Tsh 36m ya mchina ndio kashika soko hapa balaa ana vitu vya Benz na range ndani ni gari kweli Watanzania bado hawajalistukia harafu gumu pana Haval Tigo pro 8 ina njaa sana..Hahahaš hatari ist used mpk bongo 17mil ,wanakuja kuzitupa huku