Car4Sale Mercedes benz e-class inalengeshwa

Car4Sale Mercedes benz e-class inalengeshwa

darautobroker

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
394
Reaction score
355
Bei/Price TSH 34.5M
Call +255 747 999 927

MERCEDES BENZ E-CLASS

Year: 2012
Engine: 2990Cc
Mileage: 33500+

Transmission: AUTO

Fog Lights
Back Camera
Alloy Wheels

100% Duty Paid
Free Registration
Exchange Possible

IMG-20250809-WA0141.jpg
IMG-20250809-WA0143.jpg
IMG-20250809-WA0145.jpg
IMG-20250809-WA0139.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250809-WA0115.jpg
    IMG-20250809-WA0115.jpg
    205.8 KB · Views: 21
  • IMG-20250809-WA0112.jpg
    IMG-20250809-WA0112.jpg
    189.9 KB · Views: 11
  • IMG-20250809-WA0113.jpg
    IMG-20250809-WA0113.jpg
    243.3 KB · Views: 12
  • IMG-20250809-WA0117.jpg
    IMG-20250809-WA0117.jpg
    231 KB · Views: 15
  • IMG-20250809-WA0118.jpg
    IMG-20250809-WA0118.jpg
    178.8 KB · Views: 19
Uko sahihi kabisa.
Mkuu karibu kila wiki inapita gari niliyolipia hapa hapo Tunduma magari machache sana ndio kodi namuuliza mwana wa humu seaman ila mengi nishalipia najua kwa kichwa hilo kodi yake itakua ngapi maana bila kujua kodi ya gari kazi ya kuleta magari itakua ngumu ukiangalia bei ya soko tu..
 
Kama E300 ya 2012 kwa M34 watu wanasema bei ni rahisi asee..!
 
Sh ngap hii mkuu
Inauzwa kati ya 68m mpaka 75m rand 460,000 nadhani maana nilipita juzi hapo..
Sasa uliza gari ya 2023 Japan Legend 50 utapata bei yake..
Hapa gari mpya rand 889,000 kwa hiyo iliyopita miaka kadhaa inashuka bei tofauti na Japan wao wanaangalia demand and supply bado wanatuuzia ist za 2004 si utani huo..
 
Hahaha😅 hatari ist used mpk bongo 17mil ,wanakuja kuzitupa huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom