T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,303 Reaction score 2,022 Jul 14, 2019 #1 Tafadhalini, mwenye kuifahamu Menu ya TTCL pesa anisaidie, kuna akiba yangu nahitaji kuitumia. Ukipiga huduma kwa wateja wanapiga porojo tu T-Pesa hakuna maelezo yoyote. Ahsanteni
Tafadhalini, mwenye kuifahamu Menu ya TTCL pesa anisaidie, kuna akiba yangu nahitaji kuitumia. Ukipiga huduma kwa wateja wanapiga porojo tu T-Pesa hakuna maelezo yoyote. Ahsanteni
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,701 Reaction score 5,630 Jul 14, 2019 #2 *150*71#
T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,303 Reaction score 2,022 Jul 14, 2019 Thread starter #3 Kertel said: *150*71# Click to expand... Ahsante sana, wewe ni mzalendo wa kweli
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,252 Reaction score 79,964 Jul 14, 2019 #4 Umeniwahi Kertel said: *150*71# Click to expand...
T Team JPM JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,303 Reaction score 2,022 Jul 14, 2019 Thread starter #5 hearly said: Umeniwahi Click to expand... Ahsante pia, ukiweza washauri hiyo menu ipatikane katika maelezo ya huduma kwa wateja. Ukipiga 100, maelekezo hayataji kitu TTCL pesa kabisaaa
hearly said: Umeniwahi Click to expand... Ahsante pia, ukiweza washauri hiyo menu ipatikane katika maelezo ya huduma kwa wateja. Ukipiga 100, maelekezo hayataji kitu TTCL pesa kabisaaa