Menu ya *152*75#

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
320
Reaction score
515
Kama unatumia /unamiliki chombo cha moto tafadhali tumia dakika yako 1 kuangalia menu *152*75#
chagua kuweka namba ya gari au namba ya leseni
weka hiyo namba
utaambiwa kama unadaiwa au haudaiwi

Muhimu
Ukisimamishwa na traffic usikimbia hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…