Kwa hesabu ya haraka haraka nyie wawili hakuna atakayekuwa na uzito chini ya kg 90! Khaaa!!!
Nijilambe au nikulambe mpishi??Aaa wapi,
unaweza kuta ni wembamba wa reli juu treni inapita.
Usihadaike na misosi babu,si unajua menyu ndo mpango mzima!!!,
Siku nialike nije kwako kukupikia vinono hadi ujilambe.
Hahahahahahah...babuuuuuuu i knew u were somewhere around.
Lakini si inawezekana wanafanya na mazoezi???!
Nijilambe au nikulambe mpishi??
We!!
Nini!!!
Unilambe??
UJILAMBE wewe kwa rosti shatashata nitakalokupikia.
Khaa!!
We!!
Nini!!!
Unilambe??
UJILAMBE wewe kwa rosti shatashata nitakalokupikia.
Khaa!!
Madame B, kumbe we ni mtaalamu kias hiko. hebu nipm email yako niwe nakuja tuishen ya mapishi mara ntokapo jf. . .
Ye mwache,
c unajua na mazoezi muhimu?
Tusije shindwa 'mazoezi' bure!!
Khee! Kumbe waogopa kulambwa eh??
Kwani ukilambwa mpishi ! Nini mbaya ?
Mbona umeshtuka kiivo kugusiwa mrambo?
Utadhani umekanyaga nyoka! Hatari iko wapi ?
Lambwa bwanaa!
Ivi kuna tofauti ya mazoezi na 'mazoezi'
asanteeni saaana tuu yan hapa mnanipa na listi zingne za kupika siku za uson yan aiyaayaaayya mbona furuuuu mautamu basi sawa madame my sister, cl my shost aspirin my babu, mentor my kaka, eversmilin my hommie, na wengineo jaman nawapendaaa
jaman jaman kichwa kimestuck asubuhi hii nataka pika ila sijui nipike nin pilau mekula jana na upolo upo, maharage juz na samaki kitoga sa sielew tupo mtu tatu mim mama na dogo sijui nipike nin mwenzenu hapa nina mwekundu unga,mchele vipo hebu nambien nipike nini nipo serious utan badae sio sahiii tafadhali hebu nipen ushauri tuuu afu nione ntapika nin.
Morning
Meosha had vyombo rutta kesho banaAkijaiva tu!
We ujapika?
Mwaga uhondo hapa kipenzipika makange ya kuku wa kienyeji na ugali kama hjui kupika sema nikwambie ni tamu sana
We ujapika?