Jisikie huru kabisa kunidistabu soulimeti. Roho zetu zimeshonanishwa kimalimwengu na kinachokudistabu wewe ni lazima kitanidistabu na mimi pia. Na kwa vile kinatudistabu wote katika kiwango cha roho na urazini, basi kunidistabu kwako ni faraja kubwa sana kwangu
Ngoja wengine tusiseme mpendwa ila Mungu Anakutumia kwa namna ya ajabu sana. Wewe waweza kudhani kuwa ni vitu vidogo tu unavyofanya lakini katika dunia hii ya sasa iliyojaa vurugu hii, neno moja lenye mwongozo huishi linaweza kubadili maisha ya mtu kabisa. Endelea kutusaidia na kamwe usichoke. Taji lako utalikuta
π₯°π₯°π₯°π₯°nakosa cha kuongea Mtende mama..asante kwa kunipenda piaπππMungu aendelee kukupigania na kukutumia uwe na umri mrefu wenye uzima na Baraka..Hallelujah..