Mentality ya kuwa na Plan B

Ukweli ni kwamba plan B hunyonya nguvu plan A yako. Ukiwa na plan Moja lazima utafanikiwa tu. Siku zote jambo linapokaribia kuchanua ugumu Huwa mkubwa, sasa kama utakuwa unaacha plan A na kukimbikia plan B, hivyo hutakamilisha jambo lolote kwenye maisha yako. "Great thing need a great time"

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
dah ushauri mzuri sana mkuu. mimi nimepiga sana pesa kwenye nfts mtu yoyote angehisi huku kuna pesa rahisi lakini ukweli ni kwamba kuna muda nilikua nalala masaa 4 tu kwa siku ata siku 5 mfululizo
 
Bro maisha hayajanyooka so tarajia chochote wakat wowote so plan za maisha mwanzo unaweza kuwa nayo moja lakin kila kinachokuja na kukua kinakuja na changamoto mpya. Ndio maana watu wanakatia bima. Si kwamba hawana uhakika wa kufika lakin wht if ndio unakuwa na mbadala hiyo ni formula ya dunia mzee. Huwez kuweka mayai yote sehemu moja. Unasomesha mtoto aje akusaidie na asipokuja kukusaidia sasa unajiwekea miradi yako ndio plan B hizo.
 
Dah.....kamwe sijawahi kuwa na plan B ya michakato ya maisha......labda kwa madem tu 😎
 

Unakuwa na PLAN B baada ya A kukamilika,..
 
Najiuliza tu, hv hz nyuzi hua kuna sehem ya kucopy au? Maana nakumbuka nlisoma this same thing kwa jamaa anaitwa Clinton Msafiri.
Anyway, fresh
 
Hakika umenena vyema...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Nahisi tangu nijiunge Jamii forums, huu uzi ni wa pili kwa ubora kwangu!

You nailed it brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…