Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,762
Huitaji kusoma label,kama ni vitu vyako unajua tu hii yenyewe.
We bana baki na True Religion zako.....hio Levi's tu bei yake mtihani sasa hio TR je?Halafu Levi's wala si high-end brand.
Hata kwenye maduka yaliyo high-end hazipo.
Levi's na True Religion au Balmain ni sawa na usiku na mchana!
Eeeh mashikolo mageni, me sijuagi hata, ... kidogo tshirts na viatu. Nawaona tu mkipendeza, sikuwa hata napay attention na Vitu vyenu amazing. Ngoja nitoe ushambaHuitaji kusoma label,kama ni vitu vyako unajua tu hii yenyewe.
We bana baki na True Religion zako.....hio Levi's tu bei yake mtihani sasa hio TR je?
For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaaDola kati ya 40 na 60 ni mtihani? Manake hiyo ndo range ya Levi's.
For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.
Mkuu suruali ya tzs 750,000 nikinunua nitapata laana!True Religion wana zaidi ya hiyo....hahahahaaa.
Hahha thanks bro... tuko pamoja hapoBro we nimekuelewa..
Do..be consistent with your barber. Fucked up haircut can mess your whole stigity.
Do..have a good taste in music. It affects your swag, big time.
Don't..ever shave your legs, or chest bro. Just don't.
Don't..ever do anything to your nails, other than cutting them.
Hii hata kwa fimbo sivaiFor a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.
The chest part bro... naaah sometime you have to 🙂 🙂
Hii hata kwa fimbo sivai
Yeah..Kama kumbukumbu yangu iko sawa..Suti nimewahi kuvaa mara 2 tu toka nije dunianiHahha thanks bro... tuko pamoja hapo
Eeeh jamani, hela zote hizo.. mbona ntafia k/koo mie, afu haijaniimpress[emoji23] [emoji23]For a pair of jeans kwangu mimi ni mtihani boss...ila TR bei kichaa
hii $379 ???!!!! Heaven Sent thaminisha hii.
Daddy Usiniambie kama na wewe ndo swagga zako hizoBro we nimekuelewa..
Teh teh..Kuchanika,mirangi mingi halafu ni straightHahaha. Kwa sababu imechanika kwenye magoti, ama?
Ulijua ni zile za nguo za kumetameta nn???Daddy Usiniambie kama na wewe ndo swagga zako hizo
Hapana nilijua Ni zile za kuvaa suruali ya metre 6, shati metre 3 na tai metre 1[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ulijua ni zile za nguo za kumetameta nn???