Mengine yaanikwa kampuni ya Bakhresa

Yote dugu moja

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

.........ndio hivyo tena, kaamua kuwapa ajira wale wasio na elimu dunia ! ..wenye elimu Dunia wamejazana TRA !
 

Amesema anayefanya hivyo sio bakhresa bali ni meneja kiwanda,mmiliki alisharidhia malipo kupanda....rudia kusoma tena hii thread mkuu!!
 
kufanya kazi kwenye kampuni ya bakhressa kuna masharti kama ya kwenda mecca.
 
Mie kwanza nawapa pole sana mliopata matatizo hayo,sehemu nyingi mkuu akiwa mbongo mwenzio anaweza kufanya mambo ambayo unaweza kushindwa hata kumsalimia!!,hapo wewe lalamika unavyoweza ili upate haki yako ,na ikishindikana wewe tafuta kazi nyingine,, hakuna dawa tena hapo walimwengu wabaya sana mkuu,kuhusu wakenya na wahindi kupewa mashavu zaidi yenu wale kaka ni ndugu kaka huwezi lingana nao mkuu japo wote mnafanya kazi ya aina moja.na kingine kuna jamaa kasema wabongo wanapenda sana kuomba ruhusa kufiwa ,kuumwa,kutojisikia vizuri,vyote hivyo vinakufanya wewe asikukubali kabisa,kuna sehemu zingine/nchi zingine unakuta mwalimu anakwambia kafiwa na kaka yake lkn anapiga pindi tu mpaka muda au pindi likiisha ndio anaondoka,yote hayo sio kuwa hampendi ndugu yake analinda kazi utamaduni wetu muungalie mnapokuwa kwenye kazi za watu,hao wametoka india hapo bongo hawana ndugu wengi watakuja hata na madawa kazini hata kama wanaumwa ili wasiwaudhi wanaofanya visa zao ziendelee kuwekwa kama huo utaratibu upo,waangalieni wanavayofanya kazi,na watu wa nchi zingine wanajipendekeza sana kwa mabosi kitu ambacho sie wabongo hatuna kabisa,jaribu kuwasomeni watu wa nchi zingine wanaweka sana uhusiano na uongozi ili hata akikosa siku moja lkn siku zingine wanazokuwa kazini wanafanya sana kazi.ila poleni sana,,walimwengu wabaya sana ndugu zangu.
 
Nimeshangazwa na vitu vifuatavyo:
1.mishahara ya enzi za mwalimu bado ipo ina exist?
2.Huyu mzee ni mdini mkubwa kama unabisha angalia medium na top rank ya employee wake wamejazana waislamu.
3.Hivi kwa nini huyu mzee huwa anajificha sana.
4.Huyu mzee ndiye aliyefinance Cuf enzi zile za jino kwa jino.
Misaada yake ipo ki udini udini tu utaona mara kawapangisha foleni waislam wenzake wakati wa mfungo ramadhani akiwapa futari.
pamoja na kutengeneza bonge la faida tena kutoka kwa raia ambao wananunua bidhaa zake bila kujari zimetengenezwa na yeye mwislam haoneshi kuwa msaada kwenye mtazamo wa usawa wa kidini na ndio maana yupo kimya sana.
 

Kapange nchi nyingine! mbona zipo nyingi? kulia na miti haisaidii, Congo kuna ardhi kubwa sana!
 
Ya nini hawa jamaa kulalamika sana ....? Wakati mahakama ya kazi ipo kwa ajili yao ...
 
mungu hawabariki wote na hawape kila moja fungu la riziki yake.
 
Tuwahurumie sana ndugu zetu wanaofanya kazi sekta binafsi, kwanza wanafanya kazi kwa muda mrefu sana na kuna lugha za manyanyaso mno wakati mishahara ni kiduchu mno. Kwa maisha ya Dar ukijaribu kuigawa hiyo laki mbili kwenye nauli, kodi ya nyumba, mkaa mafuta ya taa bila kuhusisha chakula na matibabu unaona jinsi equestion inavyokataa kubalance. sijui hatma ya mtanzania itakuwaje.
 
Nadhani ni bora wapimao urefu wa suruali kuliko wapimao na kutaka tizama unene na rangi ya paja!
 
Ya utajiri alio nao

Utajiri alionao hata kwenye walipaji kodi 10 wakubwa hayumo,tajiri aisiyelipa kodi ni tapeli tu,kwa hiyo hastahili sifa yoyote,halafu tajiri gani anayelipa mishahara viduchu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…