Kunguni,
Mbona tunakuwa wavivu wa kufikiri?kwa suala dogo kama hili tunaingiza siasa ili iweje?kwa mtu aliyekopa benki kama Baclays ambayo siyo mali ya serikali.Je unahisi ni vyema kuhusisha suala hili na suala la kufilisiwa kwa mengi(Unavyohisi?)
Hata kama tuna mapenzi ya kweli kwa Mfanyabiashara Mzawa kama Mengi ,tusiwe wajinga kiasi cha kuona hata kama kakosa basi iwe sawa.Hapa naona tunapoelekea ni kupotea na kumezwa kwa mawazo ya mtu mmoja!
Tulishalizungumza hili muda Mrefu,Huyu Mzee wa kichaga mambo yake si shwari hivyo sasa anatafuta sympath kwa watanzania ili apewe ridhaa flani kwa malengo flani.
Time will tell