Everybody get past ...unafikiri ukisema Hivyo Leo nani ataamini ...na hata akiamini who cares ????
Wanasema Enjoy Your Present ,Forget Your Past ..
Oprah Winfrey ....Huwa anasema amekualia Maisha magumu ....alibakwa utotoni ....,akijaribu kutoka watu walitaka Penzi na pia at times alijiuza ...,.only in Africa mtu akishakuwa tajiri anataka Tumaini she was a saint au watu wanataka awe Hivyo .
Watu mna jeoulous ....si zamani Sasa ...
Why Should you be ashamed with your Past .......
Hivi ukiambiaa mfano Rais kipindi yuko Magomeni ...walikuwa wanakaa kijiweni hawana pesa ya disco ...na DEMU mmoja shangingi Ndie alikuwa akitoka viwanja ...kuwagidia Mabwege
Ndio anawapa sh 20 wanaenda kula Bata ....., Huyo Bibi Sasa hivi yupo na wala Jk akimuona hajivungagi...., nafikiri JK ni Aina ya watu ambae Huwa haonei aibu past yake controversial
KAMA KUNA MTU anayeelewa basi KYLN ni mmoja wao
kyln amejiweka mbali na kashfa za kijinga, amejaribu kujijenga kuheshimika na haya ndio matunda ya kujiheshim
big up kyln.....wenye wivu wajinyonge
Aah, bahati yake tu na muda wake wa kufurahi ndo huu.Huyu dada alikua anafulia mpaka anaenda kukianika didi, huyu alikua faraja ya vibabu vya kizungu kwa malipo ya dolari? Huyu aliwahi kuwa engaged na Kinje kisha akatoroka na Kibabu cha kizungu.so tusijifanye twampa sifa za marehemu, ametoka mbali sana huyu.
Jamaa anaonyesha anajua ku care
Huyo alikuwa muuzaji mzuri tu.....sasa hata kama yalipita kwani si tunajikumbushia
Ubuyu bila kukumbushiana wala haunogi....
Sema nachompendea sasa hivi katulia sana.....mjanja yule
Hapo namsifu sana.Yani unapokuwa katika committed relationship na mtu anayekuzimia na kukupa good time kikweli kweli huna budi kuacha kuruka njia na kukimbia kimbia kama batamaji.
Aliona umri unaenda na chance kapata.Mjanja sana.
lilian kimaro nae alifunga ndoa na Mengi,kwa hiyo Mengi hii ndoa ya tatu,aisee
how mkuu wangu?